GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
Kama Mimi nikiwa Mwehu basi Waliokuzaa Watakuwa ni Wehu zaidi yanguKwani anajijua mshenzi tu anashida ya akili wausitake mazoea yake tumuignore huwezi poteza muda na mwehu huyo
Aawe kumbe GENTAMYCINE ni Mwehu 😀Kwani anajijua mshenzi tu anashida ya akili wausitake mazoea yake tumuignore huwezi poteza muda na mwehu huyo
We kweli Mwehu 😆Kwa kukupa Talaka potea Mkewe Wewe.
Tatizo walionizaa wanajitambua waliokuzaa wewe walikutelekeza palw centro police ukapelekwa nyumba za misaada , ukapandwa na kichaa kutoka kwenu ,saivi huna akili umeoa kichaa mwenzioHuko Milembe kwa Vichaa nilikuwa na Waliokuzaa. Umesema huwa hufungui posts zangu je, hii ni ya nani?
Juha mkubwa Wewe.
UmeshaishiwaKama Aliyemzaa na Aliyekuzaa.
Wote tu akili yako ni ya wehu tu ulozaliwa milembeKama Aliyemzaa na Aliyekuzaa.
Hana obovu huo, tatizo la machawa hasa lilianzia kwa mtanguliziMimi Rais Samia na Mwenyekiti wa CCM Taifa natangaza rasmi hapa kuwa sitaki nyie akina Kitenge, Zembwela, Pindi Chana, UVCCM Wote, Rais Mstaafu Kikwete na Wengineo wote Mjipendekeze Kwangu kwani siwahitaji na hakuna ambacho huwa nawatuma mkiseme bali ni Kuwashwawashwa Kwenu tu mkidhani nitawasifu na nawafurahia. Mnikome sawa?
Akisema haya GENTAMYCINE nitamuamini, Kura yangu ya 2025 anayo na nitamkubali zaidi.
Tofauti na hili ( hapo ) hilo Tamko la CCM si tu kwamba nitaliona ni Batili bali pia nitaliona ni la Kimkakati, limejaa Unafiki na lina Agenda Maalum kwa Lengo Maalum kwa Kipindi hiki na Jambo Mtambuka kwa sasa la Mama, Mwarabu na Bahari yetu.
If only She can dare and have those Guts. I doubt.....!!!
Hauko mbali na ufalme wa mungu.Ndio hakna kazi rahis kama kuongoza watu.Mleta uzi nilitaka kumwambya asiwe mchonganishi.Honestly huwa sielewi hii lugha ya eti kuongoza nchi ni kazi ngumu. Unakuta mtu anasema kuongoza nchi ni kazi ngumu, ila anapora uchaguzi ili akae madarakani kwa shuruti! Huenda hiyo lugha huwa mnanitumia kwa mazoea, ama ina lengo la kuzuia wengine wasijaribu kugombea kuongoza nchi maana wataamini ni kazi ngumu, hivyo mmbaki na goli wazi. Kazi aliyoweza JK na Magufuli nani ataishindwa?