Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Umeshawazoa kila mara mkishindwa lazima mlete stori kama hizo. Poleni sana malalamiko FCWizi wa dhahiri na ukiukaji mkubwa wa taratibu za uchaguzi kama ulivyotokea safari hii kwenye uchaguzi wa 28 October, huhitaji kuleta mtazamaji kuweza kujua uharamia uliofanywa.
Awamu hii imeharibu karibia kila kitu. Imeharibu uwekezaji, umeharibu ajira, na sasa imeharibu taswira ya nchi kwa ujumla.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mtambo wa kutengeneza uongo!Waangalizi wengi walizuiwa na ccm ndio iliyokuwa inachagua nani wa kuwaangalia na ni nani asije.
Supported.Ni kweli kuwa CCM ni chama kikongwe Afrika. Kitendo cha vijana wadogo akina Malema na wenzake akina Mbuyiseni Ndlozi kwa kushirikiana na wenzao akina Mnyika na Zitto kutaka kupambana na vyama vikongwe ni utovu wa nidhamu.
Angalia tamko lao kuhusu uchaguzi wa Tanzania lilivyojaa kibri.
View attachment 1618635View attachment 1618636
Nimecheka kama mazuri mkuu yani dam changa kupambana na vyama kongwe ni utovu wa nidhamu? Nashukuru kwa andiko hili mkuuNi kweli kuwa CCM ni chama kikongwe Afrika. Kitendo cha vijana wadogo akina Malema na wenzake akina Mbuyiseni Ndlozi kwa kushirikiana na wenzao akina Mnyika na Zitto kutaka kupambana na vyama vikongwe ni utovu wa nidhamu.
Angalia tamko lao kuhusu uchaguzi wa Tanzania lilivyojaa kibri.
View attachment 1618635View attachment 1618636
Sababu walijua wana mipango michafu ndio maana safari hii wakajidai uchaguzi tumefanya kwa fedha zetu za ndani kumbe ni ili waibe kura watakavyo, jaza sana kwenye mabegi.Waangalizi wengi walizuiwa na ccm ndio iliyokuwa inachagua nani wa kuwaangalia na ni nani asije.
Lakini Bwana Polepole kasema juzi kuwa hakuna kura iliyoibwa. NEC pia wametoa taarifa tena safari hii kwa kiingereza ili kuwajulisha mabeberu kuwa hakuna kura iliyokamatwa mtaani ama vinginevyo. Sasa hawa EFF wanapata taarifa kutoka chanzo gani?Sababu walijua wana mipango michafu, ndio maana safari hii wakajidai uchaguzi tumefanya kwa fedha zetu za ndani kumbe ni ili waibe kura watakavyo, jaza sana kwenye mabegi.
Polepole ni nani katika kutenda Haki....aliyesema kura zilizokamatwa ni za Chama Cha Mbowe kama anavyoita CHADEMA..PatheticLak
Lakini Bwana Polepole kasema juzi kuwa hakuna kura iliyoibwa. NEC pia wametoa taarifa tena safari hii kwa kiingereza ili kuwajulisha mabeberu kuwa hakuna kura iliyokamatwa mtaani ama vinginevyo. Sasa hawa EFF wanapata taarifa kutoka chanzo gani?
Hawa jamaa walileta mwangalizi ili awape ukweli? Au wanahukumu kwa kusikiliza upande mmoja?
Hata wewe ungekuwa sio mtumwa unge judje fairly.Hawa jamaa walileta mwangalizi ili awape ukweli? Au wanahukumu kwa kusikiliza upande mmoja?
Ili uwe uchaguzi huru ulitaka CHADEMA hii ya wahuni ishinde?Hakuna mtu ambaye hakuona ule upuuzi wa juzi. Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Hayo matamko hayasaidii kitu........kila kitu kinaishia huku mtandaoni...na mkiendelea kusumbua mtandao utazimwa
Hawa jamaa walileta mwangalizi ili awape ukweli? Au wanahukumu kwa kusikiliza upande mmoja?
Mwenyekiti wa Electoral Institute for sustainable democracy ni M-south ambaye alikuwa mwenyekiti wa tume yao huru ya uchaguzi, sasa unategemea waseme nini?Hawa jamaa walileta mwangalizi ili awape ukweli? Au wanahukumu kwa kusikiliza upande mmoja?
Mahesabu ya CCM yame kwenda wrong wizi ni jambo baya sana.
Bw. Ngongoti, matamko ni jambo jema hasa yanapotolewa kwa nia njema. Mimi nimegusia nidhamu ya hawa vijana kutoa matamko mazito namna hiyo.Hayo matamko hayasaidii kitu........kila kitu kinaishia huku mtandaoni...na mkiendelea kusumbua mtandao utazimwa