Uchaguzi 2020 Tamko la chama cha Julius Malema wa EFF juu ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania

Mbona una akili ndogo hivi, hata wanaowalipa basi wawe wanawapiga msasa kidogo, uchaguzi huru na wa haki wewe unaelewa maana yake ni wapinzani washinde?
Pathetic,
 
Hapana, nilitaka genge haramu chini ya jiwe libwebwe na vyombo vya dola kutangazwa washindi.
Malalamiko mengi ni hisia tu. Kilimanjaro wameacha ukabila wamechagua maendeleo, kwa hiyo ulidhani CHADEMA itapona?
 
Jiwe ndiye mtu aliyeharibu hiyo nchi kwa kiwango kikubwa sana, historia itamkumbuka sana huyo kiumbe. Kwa sasa ukisema wewe ni Mtized unadharaulika sana tofauti na mwanzo, mwisho wa siku unaanza kusingizia uraia wa nchi nyingine, very shameful
 
Sijui tuwaite maharamia sijui tuwaite majangili au wezi washamba!
 
Dunia nzima inapinga mapinduzi ya october 28. CCM imepora dola.

Enzi za siasa maji taka ndio CCM walitumia hiyo propaganda mfu na wewe kwakuwa Ni bendera fuata upepo, ukaibeba kama ilivyo.
 
Ovyoooo kabisaa...
 
Hawa akina EFF wanahoji eti mtu kapata 84% ya kibali cha watanzania kuwaongoza, inakuwaje kuwaogopa 16% ya walioshindwa wanapoandamana kwa amani? EFF wametumwa na nani?
Watakuwa wametumwa na HASHIMU RUNGWE..NA LIPUMBA...
 
Watambue watu 12M sio wa kubeza waache maneno yao.

Uchaguzi umeisha sasa tuijenge NCHI.

URT - JPM
SMZ- Mwinyi

CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…