Elections 2015 Tamko la Edward Lowassa Baada ya NEC Kumtangaza Dr Magufuli Kuwa Mshindi wa Kiti cha Urais

Babu sikia. Sifa ya mtanzania ni kukuangusha dakika za mwisho kabisa. Ndo walivyo watz babu. Sasa tunakuomba kwa dhati kabisa upumzike ulete mabadiriko ya mwili wako. Tunakushukuru sana untill then.
 
Ni kwa sababu mitandao ilijazwa na hackers wa UKAWA. Baada ya kukamatwa wale vijana ndo maana unaona mitandao imepoa
 
We mpumbavu hujui kwamba walioko huko kwenye mitandao 75% ni team Ukawa ambao ni 0.06 ya watanzania wapiga kura. Na wanaccm ni watu smart hawana muda wa kuzozana mitandaoni.
 
Inasikitisha kuona ishu serious zinafanyika kama maigizo aswa yale ya kibongo.... all the best ila aina aja ya kusema kupiga kura n haki ya mtanzania
 
Utawala wenye mabavu karne hii sio SIFA bali ni DHURUMA. TUTASHUHUDIA MENGI KUANZIA LEO. MUNGU ATULINDE JAMANI.
 
Umeshindwa tambua kuwa lowassa angeshinda tena kwa kishindo kama zingepigwa kura za mitandaoni, kwa wananchi wa kawaida shamra shamra zipo ila sio sana, sababu ya msingi ni kwamba wananchi wengi walijua matokea mapema sana.
 
Kweli kabisa. Hapa kwetu licha ya kwamba ni makao makuu ya wilaya, wananchi wengi wako down kupita maelezo. Yaani hakuna hata anaye jali kwamba kulikuwa kuna tukio la kumtangaza mshindi wa urais.

Wengi wao wamepigwa na butwaa huku wakijawa na huzuni kwani matarajio yao ya walicho kichagua sicho walicho kipata.
 
Nyie watoto jaribuni kuandika kiswahili fasaha, na kufuata sheria zote za uandishi


sasa kichwa cha habari umeandika kihuni

content yako ya thread nayo haina point ya maana, haujaweka hoja ya maana ya watu kujadili

kwa mfano kwa hicho kichwa cha habari, nikikuita kuwa hauna akili utasema unaonewa??

mods jamani
 
Mbona mnawabebesha watanzania wote hisia zenu? Acheni kabisa mbona Tv zinaonyesha watu wanashangilia? Haiwezekani wote kushinda lazima awe mmoja.
 
tafiti zilitolewa kabla ya kura kupigwa na wengi mlizipinga na ukawa wakaja na tafiti zao feki sasa ndio tunajua twaweza walikuwa sahihi kwa kiwango gani
 
Ni kwa sababu mitandao ilijazwa na hackers wa UKAWA. Baada ya kukamatwa wale vijana ndo maana unaona mitandao imepoa

Ni kwa sababu si chaguo lao. Kama sivyo, kwa nini ninyi msiijaze mitandao? Au kwa vile unaingia kwa ID lukuki ndio unadanganya kwamba nyie ndio mmetawala jukwaa?
 
Mbowe na wabunge wote wa ukawa wajiuzulu nafasi zao kumuunga mkono Rais wao kuonesha wanaamini madai haya.
 
Mbona mnawabebesha watanzania wote hisia zenu? Acheni kabisa mbona Tv zinaonyesha watu wanashangilia? Haiwezekani wote kushinda lazima awe mmoja.

Naamini hukuona FUSO pembeni yao lililo wapeleka pale kushangilia huku wakipigwa picha!!!!
 
Ushahidi pekee ambao ungemsaidia ni zile copy walizobaki nazo mawakala. Sehemu walizoshinda wapinzani walisaini matokeo ina maana ya uraisi katika majimbo yao hawakuziona mbona hawakulalamika wakati tume inatangaza majimboni mwao Kama zipo tofauti. Anataka kutuaminisha na kura za wale hackers wengine kawatoa nje ya nchi.
 
Mbowe na wabunge wote wa ukawa wajiuzulu nafasi zao kumuunga mkono Rais wao kuonesha wanaamini madai haya.

Word!...

Ingawa hilo halitatokea...Wataenda bungeni...Wataapa....Baadae watatoka kwenye hotuba ya Rais kufungua Bunge...Kisha watarudi baada ya hotuba....Na JPM ataendelea na kazi yake ya Urais wa JMT mpaka 2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…