Tamko la JK lawaondosha Wanyarwanda Kagera! Waacha ng'ombe, mashamba na nyumba

Mkuu kweli mtikila siyo chizi kunamambo husema kweli tujenge utamaduni wa kuwaamini watu wote na kuchunguza wanayosema.
 
hapana! wanaoishi kwa utaratibu mzuri na kufuata sheria za nchi waache.
 



Sawa, inabidi wajifunze heshma na adabu kwa Taifa la Tanzania, Viongozi na Wananchi wake. Hata kama nimefanya kosa mimi ni mtu mzima kuna namna ya heshma na ya kiutu ya kunisema au kunionya... itakuwa kiongozi wa Taifa? Kama Watanzania tuna matatizo yetu kwenye siasa zetu na mengine mengi. Tutayasahau hayo ya ndani ya Nchi tuungane tushughulikia adui wa nje kwanza. Na hatuhita Mnyarwanda kutupa maoni yeyote. Kwa hiiyo Tunahitaji Viongozi wetu waheshimiwe ikiwa na maana heshima kwa kila Mtanzania na Nchi Yake.
 
Teh teh teh, na KAGAME akiweka neno tu achezee kichapo faster, chezea JK wewe.
Vita sio kitu kizuri ila kama huyu nduli atatuchokoza basi Mungu wa ajabu atupe nguvu za ajabu kumpiga bila kupoteza maisha watu wengi, ili iwe fundisho kwa wengine, na ikiwezekana apotezwe kabisa!!!
 

Ugomvi wa Kikwete na Kagame kwanini uwaathiri raia wasio na makosa. Unajua kama hujawahi kuishi nchi za watu na kunyanyaswa basi utashangilia huu unyaama wanaotaka kufanyiwa wanyarwanda lakini kama umewahi kubaguliwa nchi za watu basi utakuwa unafahamu jinsi gani wanyarwanda wanavyojisikia.
Kikwete na Kagame wamalize tofauti zao sio kumalizia asira kwa raia.
 

Inasikitisha ila wacha warudi tu
 
Hee hivi ni kweli watarudishwaa? Siamini jamani nyie kweli baba riz anawarudisha?

"Nchi ngumu hii"
 

Mtikila si chizi kumbuka mtikila amesema mangapi ya kweli si vyema kupuzia mambo yanayohatarisha usalama wa Nchi Nadhani sasa ni nafasi ya kagame kujitambua mapungufu yake Ngoja alemewe na mzigo wa watu kisha aonje uchungu wa vitendo vyake
 

Ndgu Rubi, umenena vyema ndugu. Be blessed
 

Mkuu, humu JF kuna watu wengi sana ambao wanawajua hawa Wanyarwanda, embu ulizia unyama wanaoufanya mkoani Kagera au waweza kutafuta yale maneno aliyoyasema Mheshimiwa Rais pale Kagera kuhusu hawa wakimbizi. Unajua kinachoendelea CONGO??? Unajua nani ni mhusika?
 
Una uhakika ni love au revange?
 
Hapo unaweza hata kumpata hata dem wa bure ukasepa naye huku kusini.
 
Duu, kweli mmeamua kuwafanyizia ndugu zake PK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…