Tamko la JK lawaondosha Wanyarwanda Kagera! Waacha ng'ombe, mashamba na nyumba


wewe umeongea vizuri na kuelewesha vizuri. ubarikiwe.asante.
lakin wengine wanatukana tu
 

duu! hizo sehemu ni ushaidi tosha. nitatuma vijana wangu kuangalia kama kuna haki za binadamu zinavunjwa kwenye zoezi ilo.
 
Hao watutsi ndio sio wakatili wanaoua raia wa kongo bila sababu katika nchi yao? Ngoja tu tuwe wakatili ili tuishi kwa amani kuliko kuishi na watutsi waliojaa hila na roho mbaya na ubaguzi uliokithiri kwa kujiona wao tu ndio wana haki ya kuishi kama binadamu. Tanzania tungekua wakatili tungekua tushawafukuza zamani tu, lakini tumewavumilia sana. Na kwa taarifa yako wanachokifanya Mashariki ya Congo sasa hivi ndo plan yao kufanya hivyo hivyo kwenye mikoa ya Kagera na Kigoma. Wana conspiracy mbaya sana hao watutsi, si watu wa kuwaamini hata kidogo. Kwa ufupi tu ni bora waondoke. Rais wao ndo kalikoroga akidhani Wa TZ ni wajinga..
 
Nyie warwanda ni watu wa ajabu sana yani uanaiona kauri ya jk ni mbaya lakini kauri za rais wenu kagame ni nzuria! Shem on you.
Ndio walivyo hao; yani wanaona raha kuwafanyia wengine mabaya lakini wao wakifanyiwa si kelele hizo! Kwa mfano, watutsi waliwaua wahutu wengi sana huko rwanda wakati wa genocide, na hata sasa wanaendelea kuwaua raia wa DRC kwa kutumia kikundi chao cha m23; lakini kwa jinsi walivyo na akili mbovu wanakataa kabisa kuwa hawapo huko DRC na hawawapi support hao m23....foo.lishness...
 
........Safi sana, fukuza wageni woooote ambao wanaonekana ni tishio kwa Usalama wa wananchi na rasilimali za Tanzania kwa ujumla. Nina imani hiyo timua timua haitaishia kwa Wanyarwanda tu, ningependa kuona baada ya Wanyarwanda pia Wasomali warudishwe kwao ili Bashe, Kinana na Rage waondoke maana hao ni hatari kutokana na vitendo vyao vya kutishiana Bunduki na kuiba Twiga na meno ya tembo.
 
Waache waende kwao na hata Wtz waliopo kule warudi home wasije kunyanyasika bure.
Hata hivyo wa TZ waliopo rwanda washaanza kunyanyaswa muda tu tangu hili zogo lianze. Madereva wa transit wanapata tabu na pia sasa hivi MTanzania ukienda rwanda kama unaishi hotelini once ukitoka tu wanakuja polisi ku search chumba chako! jamani rest assured mkijua kuwa, watutsi si watu wazuri, ingawa kuna wachache wenye tabia za kiutu..
 
:wave:Waende tuu, tuliwapokea na kuwahifadhi wakaishi kama kwao mpaka wakaleta na mifugo yao achilia mbali kujenga nyumba na kuzimiliki licha ya kuwa wakimbizi sasa kiongozi wao ameleta dharau na nyebe, Wacha JK amkate wenge
 
Kama ni mtetezi wa haki za binadamu basi watetee raia wa DRC wanaouliwa na kubakwa na hao watutsi!.. unawatetea waendelee kubaki hapa TZ kwa sababu gani? Si waende kwao rwanda? Kama hujui, wanajikalisha hapa TZ ili mwisho waanze kuleta vurugu wanazozifanya huko DRC ili watimize azma yao ya "Expansionism" na kujenga hima or bahima or tutsi empire. We know all their plans lakini kwa TZ ndo wamefika mwisho wa reli. Warudi kwao. Watu wenye nia njema wanakaribishwa sana TZ lakini sio hao watutsi
 
Mkapa aliwarudisha kwa nguvu ya FFU na JWTZ na helcopta za kivita kutoka Ngara tena wakiwa na silaha nzito hadi wakashangaa baada ya mwanzo kugoma!!! Lakini wanarudi!
 
Unachosema ni kweli, lakini kwa watu wenye tabia kama za watutsi kwa kweli hawastahili hata kuandikishwa kama wakimbizi katika nchi yetu. Ni watu wasio na shukrani na wenye uchu wa madaraka sana. Utamkaribisha leo kesho anageuza kwake anataka wewe uwe mtumwa wake. Mfano mzuri tu ni hapo rwanda ambapo mhutu anaonekana kama raia wa daraja la pili....mimi naona tu warudi kwao!
 

Ina maana maisha yao kama ya Wasomali? Hayo uliyoyaandika ndiyo yanayotendeka kwa Wasomali waliojaa Mbezi Beach na Ukonga Dar.
 

Naunga Mkono hoja.
 

Mkuu nimekukubali sana, nadhani utakuwa tayari kuisaidia Serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…