Tamko la Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Dar es Salaam (DCPC) kumtaka Freeman Mbowe kuomba radhi

Yule aliyemteka mwanahabari mwenzao ndio anapaswa kuomba radhi, wana habari hamjielewi ndio maana hampigi kelele juu ya upotezwaji wa mwenzenu, juu ya uonevu anaofanyiwa mwenzenu Kabendera mmekalia ujinga tu. Ndio maana bwana yule anawapiga spana kila siku, hadi siku mtapojielewa na kuanza kuhoji vitu vya msingi.

CCM wana tabia ya kutumia watu kwa maslahi yao, hata hili la TBC kwenda kwenye mikutano ni mkakati wa kuwatumia wapinzani kuprove kuwa kuna usawa katika kureport habari, ni vizuri CDM wamelifahamu hilo mapema. CDM endeleeni kukataa kutumika na CCM kwa maslahi yao kwasababu bado hawajawa na nia ya dhati ya kuweka usawa na uhuru katika kureport habari.
 
Waanze kujihoji kwanza kuona kama wana uhuru to that extent and they should wochi iti kabla ya kuraumu.
 
Tumeiruhusu TBC itangaze mikutano ya ccm na wapambe wake pekee , shida iko wapi ?
 
2015 nilishinda uchaguzi wa Urais
Maana walionipa POLE walikuwa NYOMI[emoji23][emoji23][emoji23]
 
njaaa
 
Come 28 Oktoba
Chagua
Rais Chadema
Mbunge Chadema au ACT
Diwani Chadema au ACT
Usifanye makosa tena ya kuchagua matapeli.
 


Nashauri tuwafukuze na huku
 
Japo ni nje ya siasa lakini issue inayofanana na hii ilitokea huko kwa wabongo fleva, mawingu waliacha kupiga muziki wowote unaotoka Wasafi (kwa sababu wanaozijua wao) Siku ya siku wakaanza kupiga, Uongozi wa wasafi ulijitokeza na kuwakataza kupiga nyimbo zao, waliwataka waendelee kutokuipa airtime nyimbo za wasafi kwasababu hata walivyostop kuzipiga wasafi hawakuathirika na chochote.

Inaonekana kama ni kiburi lakini ni njia nzuri za kuwafunza kuheshimu kila mtu regardless ni mdogo kibiashara/kisiasa Dawa ya moto ni moto.
 
TBC watangaze tu habari za CCM kama kawaida yao.
 
Hivi hawa wanakilabu walishawahi kuiombia nini serikali juu ya Azory kutoonekana?

Vipi juu ya Mwangosi..

Clouds kuvamiwa?

Nadhani wafanye home work zao vizuri. Wao wenyewe wamekuwa wakipitia madhira magumu katika kazi zao na hao CDM wamekuwa ni sehemu ya kuwapigia kelele.

Mie nadhani kila mtu ashinde mechi zake.. wao waache kuripoti hbr za chadema,kwanza hawalipwi na cdm hivyo hawana cha kupoteza.

Wasitufokee sisi wananchi, kwani nani amewaambia tunahitaji hizo habari za chadema hadi waombe radhi.

Sisi tuleteeni habari za chama letu,mtauza sana maana sisi tupo wengi kuliko wao.
 
Katika watu wasioteteana nchi hii ni waandishi wa habari kapotea Azory yamekaa kimya kama mazezeta kavamia cloud Bashite yakakaa kama makondoo wakajidai kususia kutangaza habari zake mwishowe yakasalitiana eti leo mbowe aombe msamaha Gademiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…