TAMKO LA MWENYEKITI Baba V Kuhusu Uenyekiti wa Tume ya Mahusiano na Ndoa Chit chat.

ata sielewi yanayoendelea umu
bora nilambe pipi ivori tu
 
hahahaaa best kwani pale si tulikuwa tunazugia? Sasa huyu ni wamoyoni atii, ukimchomoa tu uhai sina!

Usnambie hukujua kama yule pia wangu wa moyoni,,,,,ila ucogope....cha mtu hakiliwi na chuma
 
Kamanda nimerudi baaba ya kwenda kusherekea birthdei yangu

tumefikia wap Baba V naomba muongozo wako mheshimiwa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…