Kamanda nimerudi baaba ya kwenda kusherekea birthdei yangu
tumefikia wap Baba V naomba muongozo wako mheshimiwa
mpaka sasa jukwaa limetulia, vin diesel kaacha mawazo ya uasi na erickb52 kawa mpole nadhani amejitambua, vipi umemuona queen kan huko katika pitapita zako.!?
mmmmmh! Jamanii
Queen Kan habari ya asubuhi.......sweet shemeji mzimakwani kumwita sweet vibaya jaman
Mpaka sasa jukwaa limetulia, Vin Diesel kaacha mawazo ya uasi na Erickb52 kawa mpole nadhani amejitambua, vipi umemuona Queen Kan huko katika pitapita zako.!?
Mwe...! haya bhana, pangeni afu muende wenyewe mie nimeghairi, siwezi kushiriki na wanaozini, hamjaoana mmeanza KUWOWANA na kuitana pipi!?
alafu wewenafurahi kusikia hizo habari vin diesel hakuwezi hata kwa dawa.......! queen kan nimeonana nae
huko mtaa wa pili bado tu anamulika mwizi wake
dia mi naenda kupiga nae story tumwe...! Haya bhana, pangeni afu muende wenyewe mie nimeghairi, siwezi kushiriki na wanaozini, hamjaoana mmeanza kuwowana na kuitana pipi!?
pole jamani yule nyoka itakua alitumwa na king kanyap..! Sijakutia machoni muda, tangu ulivyonitelekeza pale migombani, nikasubiiri weee. Alikuja kuniondoa nyoka pale..