TAMKO LA MWENYEKITI Baba V Kuhusu Uenyekiti wa Tume ya Mahusiano na Ndoa Chit chat.

TAMKO LA MWENYEKITI Baba V Kuhusu Uenyekiti wa Tume ya Mahusiano na Ndoa Chit chat.

amu nasubiri kuapishwa tu kazi nianze, nitawapenda sana iwapo mtakuwa na nidhamu ya woga kwa vigogo. kwa sasa namalizia kuokoa mateka hapa westgate muda mchache nitakuwa hapo chit-chat

Kanzi nzuri, nakuaminia sana.
 
Ahsante kwa kuweka kumbukumbu hii vizuri maana mengi yamesemwa sana humu na watu wameendelea kunichafua, nawatumia salaam kwamba nimerudi na niko timamu na kwa sasa naongea na wanasheria wangu Rutashobolwa na Kaizer namna ya kuwafikisha wahusika katika mikono ya sheria hasa huyu Bishanga kanichafua sana.

Mimi nilikwenda Goma kwa special mission sasa iweje aje hapa na kunitangazia ukimbizi..?

It will eat on their side.....

Lakini naona Bishanga ameelewa somo...
 
Last edited by a moderator:
Ewaaa!!! Mwenyekiti umerudi? Karibu sana tulikumis mno! Aliyekaimu cheo chako Erickb52 alipwaya sana akalewa madaraka kama fisiem akajitangazia mwenyekiti wa milele, nguvu ya umma imemuondoa!!

Welcome back mkulu.
 
Last edited by a moderator:
Huyu Kijana Mwenyekiti wa penda penda ana roho ngumu....atajipanga upya akisaidiwa na Mr Rocky...
sijajua nimuunge mkono nani...
 
Last edited by a moderator:
Huyu Kijana Mwenyekiti wa penda penda ana roho ngumu....atajipanga upya akisaidiwa na Mr Rocky...
sijajua nimuunge mkono nani...

Hana uwezo wa kufanya hivyo, na kwa sasa nimeshatega ICBM zangu kila kona, akithubutu tu ntamshukia kama kipanga. atajuuta kuijua chit chat.
 
Hana uwezo wa kufanya hivyo, na kwa sasa nimeshatega ICBM zangu kila kona, akithubutu tu ntamshukia kama kipanga. atajuuta kuijua chit chat.

Nitamuunga mkono Erickb52 kwenye mapinduzi haya....Haiwezekani wazee mtuburuze:smash::smash::smash:
 
Last edited by a moderator:
Nitamuunga mkono Erickb52 kwenye mapinduzi haya....Haiwezekani wazee mtuburuze:smash::smash::smash:
waswahili wanasema "ukitaka kuruka agana na nyonga".. jitathmini kwanza kabla hujafanya maamuzi, This is a last chance i give you, sitatoa nafasi nyingine tena.
 
Ewaaa!!! Mwenyekiti umerudi? Karibu sana tulikumis mno! Aliyekaimu cheo chako Erickb52 alipwaya sana akalewa madaraka kama fisiem akajitangazia mwenyekiti wa milele, nguvu ya umma imemuondoa!!

Welcome back mkulu.

Tuko pamoja kaka, hili jukwaa linahitaji busara za hali ya juu ili watu tuendelee kwenda sawa, yule dogo kinachomsumbua ni tamaa za chini na anadhani akishika madaraka ndo utakuwa urahisi wake, imekula kwake.
 
waswahili wanasema "ukitaka kuruka agana na nyonga".. jitathmini kwanza kabla hujafanya maamuzi, This is a last chance i give you, sitatoa nafasi nyingine tena.

kuna watu 'wetu' kabisa ila naona wamehama kambi....mfano huyo Arushaone...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom