Duuh.. Ngoja nimuatendi kwanza shemeji yenu Paloma.. Anaumwa hapa akipata nafuu nitarudi na maswali na majibu yake lol..
Ahsante kwa kuweka kumbukumbu hii vizuri maana mengi yamesemwa sana humu na watu wameendelea kunichafua, nawatumia salaam kwamba nimerudi na niko timamu na kwa sasa naongea na wanasheria wangu Rutashobolwa na Kaizer namna ya kuwafikisha wahusika katika mikono ya sheria hasa huyu Bishanga kanichafua sana.
Mimi nilikwenda Goma kwa special mission sasa iweje aje hapa na kunitangazia ukimbizi..?
It will eat on their side.....
My kaka hongera sananitakuwa mtiifu mkuu
Mbona me sipati cheo?Ndio sababu nimekuweka kwenye kitengo nyeti kama hicho kwa kuzingatia weledi wako. Pamoja sana..
MziziMkavu wa mambo ya kienyeji yule.. Paloma humnyweshi dawa za kienyeji asilani..Heeee vipi tena?? m consult Dr. riwa au MziziMkavu fasta.
Ni mimba changa inamsumbua?
Hana uwezo wa kufanya hivyo, na kwa sasa nimeshatega ICBM zangu kila kona, akithubutu tu ntamshukia kama kipanga. atajuuta kuijua chit chat.
Ewaaa!!! Mwenyekiti umerudi? Karibu sana tulikumis mno! Aliyekaimu cheo chako Erickb52 alipwaya sana akalewa madaraka kama fisiem akajitangazia mwenyekiti wa milele, nguvu ya umma imemuondoa!!
Welcome back mkulu.
waswahili wanasema "ukitaka kuruka agana na nyonga".. jitathmini kwanza kabla hujafanya maamuzi, This is a last chance i give you, sitatoa nafasi nyingine tena.