Tamko la Padre Kitima na changamoto ya Korona dhidi ya Usalama wa Nchi: Tunakwenda wapi baada ya hapa?

Tamko la Padre Kitima na changamoto ya Korona dhidi ya Usalama wa Nchi: Tunakwenda wapi baada ya hapa?

Mara useme umefundisha kanuni ya OPHETA kama mwalimu wa Sekondari, ghafla umegeuka unasema wewe ni mwalimu wa Sumbawanga Primary School.

Picha nimeitoa kwenye maktaba ya shule ya msingi Sumbawanga.
 
Andiko lako limeshiba, limeenda shule na linafundisha.

Kiufupi hatuna usalama wa Taifa, tuna usalama wa CCM wenye mbinu za medani za kuiwezesha CCM kuendelea kubaki madarakani kimagumashi lakini hopeless kabisa kwenye mambo ya haki za wananchi!
Usichokijua bora ufunge domo lako!
 
Umeandika maelezo mazuri sana ya namna utafiti unavyofanyika kuanzia satage ya mwanzo kabisa inayohusiana na kitu ambacho huwa kina-trigger uwepo wa hypothesis (kuona). Hata hivyo umesahau kuandika chochote kuhusiana na "heading" au kichwa cha habari cha bandiko lako. Very good short notice on "scientific reaseach approach"
Hata kama mlifanya utafiti majibu yenu mlipaswa kupeleka kwa waziri ambaye ndiyo msemaji wa masuala ya Afya ya watanzania. Vinginevyo tunarudia kuwaambia tiini mamlaka, bila hivyo mtaonekana wafanya fujo
 
Mara useme umefundisha kanuni ya OPHETA kama mwalimu wa Sekondari, ghafla umegeuka unasema wewe ni mwalimu wa Sumbawanga Primary School.
Kama umesoma falsafa huwa kuna 'substance (mambo ya msingi) and accident (mambo yasiyo ya msingi)'. Kwenye mjadala huu jambo la msingi ni hoja anayoijadili. Whether anafundisha Sumbawanga au Kinyerezi si jambo la msingi kwenye mjadala huu. So, it's useless to concentrate on it.
 
Hata kama mlifanya utafiti majibu yenu mlipaswa kupeleka kwa waziri ambaye ndiyo msemaji wa masuala ya Afya ya watanzania. Vinginevyo tunarudia kuwaambia tiini mamlaka, bila hivyo mtaonekana wafanya fujo
Nashindwa kupata namna nzuri ya kuchangia kwenye mjadala huu. Kila ninachojaribu kukiandika nakifuta. Najionea huruma na inasikitisha sana!
 
Mamlaka zinazotoka kwa Mungu wa mbinguni hazina kashfa ya kura za kwenye mabegi meusi.
Unamfahamu Kitima vilivyo? Unayajua madudu aliyofanya SAUT Mwanza? Au unadhani kwa sababu yeye ni padre basi amekuwa mtakatifu hana mapungufu? Unaijua bussiness aliyokuwa anaifanya na CRDB pale SAUT? The motive behind unajua?
 
Hata kama mlifanya utafiti majibu yenu mlipaswa kupeleka kwa waziri ambaye ndiyo msemaji wa masuala ya Afya ya watanzania. Vinginevyo tunarudia kuwaambia tiini mamlaka, bila hivyo mtaonekana wafanya fujo
Hata sijakuelewa kuhusiana na hii mada
 
Hata kama mlifanya utafiti majibu yenu mlipaswa kupeleka kwa waziri ambaye ndiyo msemaji wa masuala ya Afya ya watanzania. Vinginevyo tunarudia kuwaambia tiini mamlaka, bila hivyo mtaonekana wafanya fujo
IMG_20210218_174254_207.jpg
 
Juzi kuna mahali Nilitetea kauli ya Padre. Kwamba yeye kupata takwimu Ni rahisi sana kupitia Mnyororo/utaratibu wakanisa kupata habari KUTOKA kwenye JUMUIYA, mtaa, kigango, PAROKIA, Dekano, JIMBO, Jimbo KUU hd TEC.

Tena VIONGOZI wa huko wengi Ni watu wenye uelewa mkubwa, hadi Watendaji wa serikali wako. So kujua kuna shida au hakuna Ni rahisi mno, Tena siku moja aweza pata si tu takwimu ZA wakristu, bali Hata madhehebue mengine.

Tuliopinga wazo lake wengi tulichochorae na mikwara ua kiserekele. Kimsingi Aliongea vizuri na kanisani juzi kwamba mara ya kwanza PAROKO wetu alivaa barakoa. Kabla Alikuwa mbishi sana
 
Padre alikiuka muongozo wa nchi kuhusu itifaki ya utoaji taarifa kuhusu ugonjwa wa UVIKO. Tiini mamlaka za nchi kwa maana nazo zimetoka kwa MUNGU WA MBINGUNI
Hata Kama kiongozi amepatikana kwa kuiba kura Basi tuendelee kutii tu?
 
Hapo uliposema wanapeana tu kazi na kuangalia chama gani ni tatizo kubwa. Kuna jamaa aliniambia yeye kada yuko mbele na kwa njia hiyo tenda anapata tu. Akasema

Ukijifanya mpinzani tu tenda utaisikia kwa wenzio.

Kama ni kweli kwa kweli mhh siwezi kusema.
 
Back
Top Bottom