Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Mungu mwema wa mbinguni. Huyu Lu-ma-ga naomba afiwe mke, baba, na hata mama yake mzazi . Tuone kama atamsubiri huyo waziri mkuu au waziri mwenye dhamana amtangazie huo msiba !!. Watu mnajikomba mpaka mnatia aibu utu wenu.Hata kama mlifanya utafiti majibu yenu mlipaswa kupeleka kwa waziri ambaye ndiyo msemaji wa masuala ya Afya ya watanzania. Vinginevyo tunarudia kuwaambia tiini mamlaka, bila hivyo mtaonekana wafanya fujo
Mamlaka zingine siyo za kuendekeza. UKWELI USEMWE . Kwanini tunaionea Corona aibu ?! Gonjwa lenyewe limeanzia huko China na si Tz