Subira the princess JF-Expert Member Joined Mar 3, 2018 Posts 3,474 Reaction score 3,744 Jan 16, 2022 #61 Behaviourist said: Mimi jukumu langu kama mchangiaji wa kwanza ni kutupia haraka sana video ya kutafuna hela za uma bila kuvimbiwa. View attachment 2081545 Click to expand... kila cku tunasema ccm wote ni majizi na itabaki hvyo.
Behaviourist said: Mimi jukumu langu kama mchangiaji wa kwanza ni kutupia haraka sana video ya kutafuna hela za uma bila kuvimbiwa. View attachment 2081545 Click to expand... kila cku tunasema ccm wote ni majizi na itabaki hvyo.
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,926 Reaction score 95,626 Jan 16, 2022 #62 Subira the princess said: kila cku tunasema ccm wote ni majizi na itabaki hvyo. Click to expand... "Mama" kaagiza wajipimie!🤡🤡🤡 Your browser is not able to display this video.
Subira the princess said: kila cku tunasema ccm wote ni majizi na itabaki hvyo. Click to expand... "Mama" kaagiza wajipimie!🤡🤡🤡 Your browser is not able to display this video.
P Phillipo Bukililo JF-Expert Member Joined Dec 29, 2015 Posts 18,487 Reaction score 13,611 Jan 17, 2022 #63 FRANCIS DA DON said: Si kasema kwamba anajua watu wanakula, ila wanavimbiwa, hiyo maana yake nini? Hujui maana ya nene ‘ulaji’ as in ‘kula’ ? Click to expand... Ulaji upo dunia nzima. Ni heri yeye anakiri hadharani kuliko JPM aliyekuwa mkali kwa wasaidizi wake jukwaani lakini alikuwa na chain kubwa ya wapigaji.
FRANCIS DA DON said: Si kasema kwamba anajua watu wanakula, ila wanavimbiwa, hiyo maana yake nini? Hujui maana ya nene ‘ulaji’ as in ‘kula’ ? Click to expand... Ulaji upo dunia nzima. Ni heri yeye anakiri hadharani kuliko JPM aliyekuwa mkali kwa wasaidizi wake jukwaani lakini alikuwa na chain kubwa ya wapigaji.