Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,843
- 31,057
Tena wa hovyo kweli kweliSamia ni raisi wa hovyo
Akiwa Mkuu wa nchi, hakupaswa kutoa ruksa kwa wateule wake wajitafunie tu pesa za umma, bila kuchukuliwa hatua zozote za kisheria🥺
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena wa hovyo kweli kweliSamia ni raisi wa hovyo
Kwahiyo ile video clip inayosambaa ni ya kutengeneza? Kwanini msikubali tu kuwa tumepigwa na hamna kitu paleWaambie wabebe afu waone moto.Mnapenda Sana upotoshaji nyie.
Kosa moja halihalalishi kosa la pili, unaelewa hilo?Magu mwenyewe alishindwa kumfunga hata mmja,akajikuta anaingia 18 za Rostam
Kosa moja halihalalishi kosa la pili, tunaenda mbele au tunarudi nyuma?Ungeanzia na ela ya brashi kwanza.
Sasa Mungu ndio anapenda viongozi wa umma wafuje mali za umma kwa kadri ya urefu wa kamba yao? Ni Mungu wa wapi huyo?!Anapoteza muda tu. Samia ni mpaka 2030 iwapo Mungu atapenda.
Sasa anakuwaje choka mbaya na hana kamba ya kumzuia...huyu anaweza kula kwa urefu wowote anaoweza fika hana kamba ya kumuwekea limitation! au labda useme hana "rangeland a.k.a Marisho" ya kula!Wiki chache zilizopita nilikwenda mkoani simiyu kwenye wilaya moja inaitwa meatu kwenye shughuli zangu tu.
Huko meatu kuna rafiki yangu wa miaka mingi anafanya kazi pale halmashauri kwa miaka mingi sana.
Huyu bwana ukweli ulio wazi hana jipya sana, anafanya sana kazi ila hana kamba. Huyu hataweza kujjpimia hata kidogo labda siju moja aje kuteuliwa kuwa mkurugenzi(DED).
Ila kwa sasa ni choka mbaya japo hivyohivyo maisha yanaenda.
Watu Kama Hawa ambao hawana kamba watajipimiaje?
Kwa mfumo wa maisha niliuona kule huyu hadi anastaafu hatakuja kupata kamba, hivyo kwenye kujipimia muwafikirie na Hawa watendaji ambao wapo mazingira magumu kidogo.
Hamjamuelewa Rais na kama kawaida mnaanza kulalamika.Sasa Mungu ndio anapenda viongozi wa umma wafuje mali za umma kwa kadri ya urefu wa kamba yao? Ni Mungu wa wapi huyo?!
Si kasema kwamba anajua watu wanakula, ila wanavimbiwa, hiyo maana yake nini? Hujui maana ya nene ‘ulaji’ as in ‘kula’ ?Hamjamuelewa Rais na kama kawaida mnaanza kulalamika.
Alimaanisha kila mtu aishi kwa mshahara wake halali.
Sio unalipwa milioni mbili kwa mwezi halafu unataka uwe na jengo ufukweni la milioni mia mbili.
Kosa moja halihalalishi kosa la pili, unaelewa hilo?
Alimaanisha wajipime sio kujipimiaKwahiyo ile video clip inayosambaa ni ya kutengeneza? Kwanini msikubali tu kuwa tumepigwa na hamna kitu pale
Ata kikwete mwenyewe pamoja na wizi wake hajawai kusema maneno kama hayo, naamini siku ile jk alijishika kichwa aliposikia hiyo statment kutok kwa mama..kiufupi sheteni mwenyewe alishangaa na kumushanga wewe samia haumuogopi mungu wako.Inasikitisha sana kuona rais anatoa geenlight ya watu kula keki ya taifa. Rais ametuzalau sana wananchi. Yaani toka nakua na ufahamu wangu sijawai kusikia kauli ya ovyo kama hii ikitolewa na kiongozi wa nchi. Tz inahitaji kukombolewa kutoka ktk kundi la mchwa
Una nini lakini na mimi?🤣Kamba yetu tuliivuta sana ikakatika. Tumebaki na majembe ya kupiga palizi...mvua zenyewe hazinyeshi tuvune tupate walau sile buku 7 saba....daah 😂😂
Usije ukasababisha watu wakaandika vitu ambavyo wewe hukutegema na hata yeye mwenyewe na serikali hawakutegemea. Nchi hii ina watu zaidi ya milioni 60, tena wenye akili kuliko wewe na yeye wapo wengi sana. Utendaji wake akiwa waziri na jinsi ilivyoshinikizwa yeye ndiye awe mgombea mwenza ni jambo linalojuliakana sana.Samia anaijua serikali kwa miaka mingi tena ndani kabisa,sasa usijifanye unajua zaidi yake wakati wewe unaujua ukoo wako tu.
Acha kutishia kuja--- wakati unahara.Huna chochote cha kuweka wazi zaidi ya ngonjera.Usije ukasababisha watu wakaandika vitu ambavyo wewe hukutegema na hata yeye mwenyewe na serikali hawakutegemea. Nchi hii ina watu zaidi ya milioni 60, tena wenye akili kuliko wewe na yeye wapo wengi sana. Utendaji wake akiwa waziri na jinsi ilivyoshinikizwa yeye ndiye awe mgombea mwenza ni jambo linalojuliakana sana.
Kwa nini umechukulia kuwa post hiyo ni tishio kama huna cha kutishwa! Keep your skeleton in your closet!Acha kutishia kuja--- wakati unahara.Huna chochote cha kuweka wazi zaidi ya ngonjera.
Maza ndiyo kaishapewa hivyo na Mungu,wewe piga domo ila uwezi badili chochote.Kwa nini umechukulia kuwa post hiyo ni tishio kama huna cha kutishwa! Keep your skeleton in your closet!