Tamko la Rais ni sheria: Je, Mawaziri wakiiba pesa za umma bila kuvimbiwa, wanaweza kushtakiwa?

Tamko la Rais ni sheria: Je, Mawaziri wakiiba pesa za umma bila kuvimbiwa, wanaweza kushtakiwa?

Wiki chache zilizopita nilikwenda mkoani simiyu kwenye wilaya moja inaitwa meatu kwenye shughuli zangu tu.
Huko meatu kuna rafiki yangu wa miaka mingi anafanya kazi pale halmashauri kwa miaka mingi sana.
Huyu bwana ukweli ulio wazi hana jipya sana, anafanya sana kazi ila hana kamba. Huyu hataweza kujjpimia hata kidogo labda siju moja aje kuteuliwa kuwa mkurugenzi(DED).
Ila kwa sasa ni choka mbaya japo hivyohivyo maisha yanaenda.
Watu Kama Hawa ambao hawana kamba watajipimiaje?
Kwa mfumo wa maisha niliuona kule huyu hadi anastaafu hatakuja kupata kamba, hivyo kwenye kujipimia muwafikirie na Hawa watendaji ambao wapo mazingira magumu kidogo.
Sasa anakuwaje choka mbaya na hana kamba ya kumzuia...huyu anaweza kula kwa urefu wowote anaoweza fika hana kamba ya kumuwekea limitation! au labda useme hana "rangeland a.k.a Marisho" ya kula!
 
Sasa Mungu ndio anapenda viongozi wa umma wafuje mali za umma kwa kadri ya urefu wa kamba yao? Ni Mungu wa wapi huyo?!
Hamjamuelewa Rais na kama kawaida mnaanza kulalamika.

Alimaanisha kila mtu aishi kwa mshahara wake halali.

Sio unalipwa milioni mbili kwa mwezi halafu unataka uwe na jengo ufukweni la milioni mia mbili.
 
Si kasema kwamba anajua watu wanakula, ila wanavimbiwa, hiyo maana yake nini? Hujui maana ya nene ‘ulaji’ as in ‘kula’ ?
 
Kuna mtego umewekwa, ole wake Waziri aibe, ndo atamjua Mama Samia ni nani?
 
Pep hivi baba sisi tuna kamba??[emoji1787]
Kamba yetu tuliivuta sana ikakatika. Tumebaki na majembe ya kupiga palizi...mvua zenyewe hazinyeshi tuvune tupate walau sile buku 7 saba....daah 😂😂
 
Alichozungumza Mhe. Rais kinapotoshwa. Rais ametumia lugha ya kiungozi (kiutu uzima) kuonya juu ya matumizi ya fedha serikalini (ndani ya wizara). Hakuna Kiongozi anaweza kusimama hadharani kuruhusu mambo hayo.
#LILE_NI_ONYO
 
Inasikitisha sana kuona rais anatoa geenlight ya watu kula keki ya taifa. Rais ametuzalau sana wananchi. Yaani toka nakua na ufahamu wangu sijawai kusikia kauli ya ovyo kama hii ikitolewa na kiongozi wa nchi. Tz inahitaji kukombolewa kutoka ktk kundi la mchwa
Ata kikwete mwenyewe pamoja na wizi wake hajawai kusema maneno kama hayo, naamini siku ile jk alijishika kichwa aliposikia hiyo statment kutok kwa mama..kiufupi sheteni mwenyewe alishangaa na kumushanga wewe samia haumuogopi mungu wako.
 
Kamba yetu tuliivuta sana ikakatika. Tumebaki na majembe ya kupiga palizi...mvua zenyewe hazinyeshi tuvune tupate walau sile buku 7 saba....daah 😂😂
Una nini lakini na mimi?🤣
 
Samia anaijua serikali kwa miaka mingi tena ndani kabisa,sasa usijifanye unajua zaidi yake wakati wewe unaujua ukoo wako tu.
Usije ukasababisha watu wakaandika vitu ambavyo wewe hukutegema na hata yeye mwenyewe na serikali hawakutegemea. Nchi hii ina watu zaidi ya milioni 60, tena wenye akili kuliko wewe na yeye wapo wengi sana. Utendaji wake akiwa waziri na jinsi ilivyoshinikizwa yeye ndiye awe mgombea mwenza ni jambo linalojuliakana sana.
 
Mkuu kwa sasa nchi yetu inaendeshwa bila kufuata Sheria za nchi! Kwa hiyo usitegemee mtu kushitakiwa mahakamani.
Hata wewe huko uliko (kama siyo Mcha Mungu) angalia urefu wa kamba yako then piga.
Sheria ziko kwa ajili ya wezi wa kuku na mihogo na huenda ndiyo wamejaa kwenye magereza zetu!
 
Usije ukasababisha watu wakaandika vitu ambavyo wewe hukutegema na hata yeye mwenyewe na serikali hawakutegemea. Nchi hii ina watu zaidi ya milioni 60, tena wenye akili kuliko wewe na yeye wapo wengi sana. Utendaji wake akiwa waziri na jinsi ilivyoshinikizwa yeye ndiye awe mgombea mwenza ni jambo linalojuliakana sana.
Acha kutishia kuja--- wakati unahara.Huna chochote cha kuweka wazi zaidi ya ngonjera.
 
Acha kutishia kuja--- wakati unahara.Huna chochote cha kuweka wazi zaidi ya ngonjera.
Kwa nini umechukulia kuwa post hiyo ni tishio kama huna cha kutishwa! Keep your skeleton in your closet!
 
Back
Top Bottom