Tamko la Shura ya Maimamu kufuatia Jeshi la Polisi kuwashikilia Viongozi wa CHADEMA

Tamko la Shura ya Maimamu kufuatia Jeshi la Polisi kuwashikilia Viongozi wa CHADEMA

SHURA YA MAIMAMU TANZANIA

TAMKO LETU KUFUATIA JESHI LA POLISI NCHINI KUWASHIKILIA VIONGOZI WA CHADEMA

Shura ya Maimamu Tanzania tumefuatilia kwa kina tukio la Jeshi la Polisi kuwakamata viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendrleo CHADEMA. Tumejiridhisha tukio hilo ni ukandamizaji wa Demokrasia na haki za binadamu.

Tumepokea tukio hili kwa masikitiko makubwa.

Kushikiliwa kwa Viongozi hao wa CHADEMA na baadhi ya wanachama hao, kumetokea muda mchache kabla ya kufikia tarehe ya Kongamano la Kikatiba lilio andaliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kufanyika Jijini Mwanza Ukumbi wa Tourist Hotel.

Kukamatwa kwa Viongozi hao ni kiashiria tosha kuwa Jeshi la Polisi nchini lina endeleza hujuma dhidi ya wananchi kwakuwa haki ya kukusanyika na kutoa maoni ni haki ya Kikatiba. Na kuendelea kuwazui Watanzania kutotumia haki yao ni kuvunja Katiba.

Shura ya Maimamu Tanzania inalitaka Jeshi la Polisi Tanzania kuwaachia viongozi wote wa CHADEMA na wanachama wake bila masharti yoyote.

Pia tunazidi kushauri vyombo vya dola ikiwemo Jeshi la Polisi Tanzania, kutoendeleza vitendo vya ukiukwaji haki za raia na kukandamiza uhuru wa watu kujieleza. Kwani vitendo hivi vina leta taswira mbaya kwa taifa letu.

KATIBU MKUU
Shura ya Maimamu Tanzania
Leo tar 23.07.2021
0656654546
Kesho utasikia wamekana tamko .

Shehe ponda ameanza chokochoko.
 
Ha ha ha,

Alhabib umenivunja mbavu zangu Sana,

Hawa wapuuz wanachokoza wenyewe huu mziki baadae waje kutupa lawama tuh hawaa,

Washenzy waja laana hawa,dawa yao ni kwenda nao kwa lugha hizi may be wataelewa hawa makafiri
Akhy l kareem hawa waefeso wengi wao wamezaliwa na roho mbovu vibaya. Yaani muislamu hata akiwapikia biriani la mbuzi tena bure wakishiba lzm pembeni watoe kashfa.
Hii iko ndani ya damu zao.
Wakati jiwe anawapeleka speed 100 waliufyata mkia . Adabu walishika .
Leo wamepewa ruksa kufanya mikutano ya hadhara tayari wanaanza kuua watu na kumtukana kiongozi wa nchi.
Hawa dawa yao ni kufuta kabisa hicho chama cha magaidi.
 
Huyu mtoto huwa ni mjinga sana, huwa analeta uisilamu wake kwenye mambo yasiyo na uhusiano. Anadhani kwakuwa yeye ana Udini maandazi kila mtu na anaendekeza hiyo mitazamo kama yake. Magu tulikuwa tunamuona anaenda kanisani kila siku, lakini tulikuwa tunajua fika ni mnafiki na dhalimu, na hatujawahi kumtetea eti kisa ni mkristo. Huyu mjinga akiona mtu kavaa nikabu kwake anaona ni muislamu.
Inaitwa Niqab, na wanavaa wanawake wa kiislamu.
Ukiona muefeso kavaa hio ujue ni tapeli anataka kumuibia mwanamme wa kiislamu.
Halafu lini dada kama wewe ulimpinga magufuli hadharani?
Nyie si ndio wale wapiga mchiriku mkivaa vimini wakati miguu yenyewe ka manhalawawa,!
Unawajua hao ndege?
Wale wenye miguu ka fimbo.
Kuku maji wahed.
 
Eti huyu ndio msemaji wa chadema!
Jino ka kakoswa na radi.
IMG-20140330-WA0064.jpg
 
Hapa Yericko nyerere akiwa na wazee wa kiislamu kazi yake kutumwa kahawa na maji ya kunywa.
Leo anawatukana , kisa kapewa kazi na chama cha watu wa kaskazini.
Hizi chapaa za mbege hazidumu kijana.
Usiache mbachao kwa mswala .......
IMG-20140224-WA0021.jpg
 
Yaani Kigogo2014 ni CHADEMA? Ana cheo gani? Au Yeriko ni msemaji wa chama siku hizi? Maoni ya Twitter yasigeuzwe msimamo wa chama.
Jaribu kushirikisha kichwa ktk comment zako.
Yericko ni mwanachama hai wa Chadema, na alishikiliwa na polisi mara kadhaa kwa machapisho yake kuhusu chadema na kukashifu serikali ilioko madarakani na dhamana alipewa na hao hao Chadema. Leo unamkana sababu kaandika uharo?
Huyu kiumbe na wengine kama yeye ni moja ya sababu kubwa ya kukifanya chama chenu kuonekana cha wahuni na wavuta majani haramu na magaidi.
Huo ndio uhalisia
 
Jaribu kushirikisha kichwa ktk comment zako.
Yericko ni mwanachama hai wa Chadema, na alishikiliwa na polisi mara kadhaa kwa machapisho yake kuhusu chadema na kukashifu serikali ilioko madarakani na dhamana alipewa na hao hao Chadema. Leo unamkana sababu kaandika uharo?
Huyu kiumbe na wengine kama yeye ni moja ya sababu kubwa ya kukifanya chama chenu kuonekana cha wahuni na wavuta majani haramu na magaidi.
Huo ndio uhalisia
Acha kulazimisha mambo.... Yeriko ni mwanachama wa kawaida sio kiongozi mwandamizi. So maoni yake ni binafsi ingekua ni mjumbe wa CC au kiongozi wa wilaya/mkoa tungeichukulia kma msimamo wa chama.

CHADEMA ina members na washabiki zaidi ya million 6 hvi hao wote maoni yao yatafanana?? Na maoni yote yatakua ya chama??

Tatizo hauna elimu ya Management ndio maana inakua ngumu kuelewa veil of incorporation!!
 
Eti huyu ndio msemaji wa chadema!
Jino ka kakoswa na radi.View attachment 1867779
Hapa Yericko nyerere akiwa na wazee wa kiislamu kazi yake kutumwa kahawa na maji ya kunywa.
Leo anawatukana , kisa kapewa kazi na chama cha watu wa kaskazini.
Hizi chapaa za mbege hazidumu kijana.
Usiache mbachao kwa mswala .......View attachment 1867782
Nilichogundua una chuki binafsi na Yeriko.....kiufupi roho mbaya yako haiwezi kumpunguzia lolote. He's better than you all round kuanzia mafanikio ya kimaisha mpaka IQ wise (I doubt umewahi andaa hta paper ya kipublish). Unajiita mtu wa dini na umejaa chuki?? Unajadili jino la mwanaume mwenzio?

Aiseee excuse my french but you're a c*nt!!
 
Nilichogundua una chuki binafsi na Yeriko.....kiufupi roho mbaya yako haiwezi kumpunguzia lolote. He's better than you all round kuanzia mafanikio ya kimaisha mpaka IQ wise (I doubt umewahi andaa hta paper ya kipublish). Unajiita mtu wa dini na umejaa chuki?? Unajadili jino la mwanaume mwenzio?

Aiseee excuse my french but you're a c*nt!!

The teh teh,

Wewe MLA Haram haujui ulisemalo,yaani uje ufananishe huyo pimbi yericko na watu wenye maisha yao??

Huyo mshenzy tuh mliman bamia huko mbutu umfananishe na nan ha ha ha ha
 
Teh teh teh umenikumbusha mbali sana huyu punguani ndiyo anawatukana Waislam daaah.

Teh teh teh,

Chadema ndiyo wasemaji wao wa chama hao,sasa mtu kama huyo Hana mbele Wala nyuma eti anawakashifu waislam
 
Hapa Yericko nyerere akiwa na wazee wa kiislamu kazi yake kutumwa kahawa na maji ya kunywa.
Leo anawatukana , kisa kapewa kazi na chama cha watu wa kaskazini.
Hizi chapaa za mbege hazidumu kijana.
Usiache mbachao kwa mswala .......View attachment 1867782

Teh teh teh,

Alhabib,unasema meno kama kakoswa na radi??

Ha ha ha,lione linavyochungulia hapo kama nguchiro...!!
 
Friends and Enemies,

Without a further do,

MODs wa JF muache tabia ya kuunganisha au kuweka maneno yenu kwenye maudhui ya fikra zetu,hii ni sehem ambayo tumedare to speak openly,acheni jukwaa Liwe huru.

ShURA ya maimamu,nimesoma waraka wenu wa kuwajibu jeshi la polisi kuhusu kushikiliwa kwa Freeman mbowe na wenzake kwa tuhuma za ugaidi na kujihusisha kuua viongoz,

Haraka haraka mmekuja kutoa tamko la kulaani na kutoa conclusions zenu,siyo jambo baya kulingana na uono wenu,lakin je nyinyi ni jeshi la polisi?jeshi la polisi wametoa observation yao na kila mtu yupo macho kuangalia kinachoendelea iweje mkurupuke kutolea kaul jambo ambalo hamna uhakika nalo?

Acheni kazi ya polisi kwa polisi,besides hao chadema mnaodhan mnaweza kuwatetea wametuma WAFUASI wao uchwara kama yericko nyerere,kigogo na wengine wengi kuwatukana waislam na uislam humu mitandaon kama Jf, Twitter, Instagram na kadhalika hamuoni??wanamtukana na KUMSHAMBULIA SAMIA kisa tuh ni Muislam utadhan ANAONGOZA NCHI hii kwa kuitumia sharia za kiislam,

Waachen chadema wapambane na hicho walichoamua kupambana nacho,

Just a piece of an advice to chadema,pambaneni na serikali na muache kupambana na uislam na waislam,samia Hassan SULUHU ni RAIS wa Tanzania na siyo Rais wa waislam,mukimzonga zonga eti kisa tuh ni Muislam basi tegemeeni battle ya jasho na damu, bring it on....
POLISICCM jeshi la hovyo kabisa, linatumika kisiasa alafu waachwe wafanye kazi yao? Kazi ipi? Ebu jaribu kuficha upumbavu wako kidogo!
 
Tatizo sio kudai katiba bali ni matendo yake ya kimafia na kigaidi ya kufikia malengo yake ya kisiasa, huyu Mbowe ana uchu na tamaa iliyo pindukia kiasi kwamba yuko tayari hata kuuwa watu wengine ilimradi tu afikie anacho taka, hana utu wala ubinaadamu kabisaa.
Jinga kabisa wewe!
 
The teh teh,

Wewe MLA Haram haujui ulisemalo,yaani uje ufananishe huyo pimbi yericko na watu wenye maisha yao??

Huyo mshenzy tuh mliman bamia huko mbutu umfananishe na nan ha ha ha ha
kahtaan ana nini kumzidi Yeriko? He's just a coward hiding behind a fake ID. Jitu zima unajadili meno ya mtu? Huyo kahtaan kma ni mpenda dini hajui anakosoa uumbaji wa huyo Allah wake?

You're a bunch of losers with inferiority complex coz mnaona kma wakristo wanawazidi kila kitu thus you play a victim role day in day out.

Mlikua na Rais muislam mbona alimpiga risasi ponda, mbona aliwapa kesi ya ugaidi UAMSHO, mbona alimmaliza Ustadh Ilunga, mbona alihujumu mahakama ya kadhi isitambulike kikatiba?? Adui yenu ni CCM mkipambana na wakristo mtajikuta kusini mnaburuza mkia miaka yote maana adui wa kweli mnamkwepa.
 
Teh teh teh,

Alhabib,unasema meno kama kakoswa na radi??

Ha ha ha,lione linavyochungulia hapo kama nguchiro...!!
Post picha yako hapa if you have guts!! we all know linapokuja suala la muonekano wamakonde can never be included in the conversation.

Mnajifanya wapenda dini mnajadili meno yaliyoumbwa na Allah? Ko Allah huwa anakosea hadi kaumba mtu ana meno kma nguchiro?

C*nts!
 
Hawa si ndio akina ponda, katiba nk ambao zamani walikuwa cuf kwa lengo lao na baada ya ukawa wakajiingiza kwenye baadhi ya vyama kama platform ya mipango yao? Fuatilia mahubiri yao kuanzia iliyoitwa safari ya matumaini na baadaye mgombea aliyetoka ughaibuni
 
Tanzania ni nchi huru na inaongozwa na Utawala wa sheria (Rule of Law) Hakuna aliye juu ya sheria, watu wote wapo sawa mbele ya sheria, mtu yeyote akifanya kosa lolote la kijinai atachukuliwa hatua za kisheria bila kujali nafasi yake, rangi take au jinsia yake.
Mbowe anatuhumiwa kwa makosa ya Kigaidi yeye na genge lake, ni kinyume cha Utawala wa kisheria kuanza kumtetea Mtuhumiwa/watuhumiwa kabla hata hajafikishwa Mbele ya Mahakama.
Tanzania inaheshimu utawala wa sheria na lazima Mbowe atafikishwa mbele ya Mahakama kujibu tuhuma na bila shaka watapata nafasi ya kujitetea, kinacho fanywa hivi sasa na Viongozi wa chadema ni kujaribu ku "frustrate" mchakato wa kumshitaki Mbowe kwa tuhuma za ugaidi kwa kutumia vyombo vya habari vya kimataifa, wakiamini kuwa Vyombo vya ulinzi vya tz vitaogopa na kurudi nyuma, hilo ndio lengo la chadema hivi sasa. wanaitishia nyau serikali makini!!!
Naamini vyombo vyetu vya ulinzi na usalama havitoingia kwenye mtego wa chadema wanao fanya hivi sasa kamwe vyombo vyetu visitetereshwe wala wasiogope kufuata utawala wa sheria kwa kumhofia Mbowe au hata mtu mwengine.
Utawala wa sheria ni "Hakuna aliye juu ya sheria".
Mbowe hatuko juu ya sheria lazima ashitakiwe na kwa kufanya hivyo ndio kuheshimu na kufuata utawala wa sheria.
 
Back
Top Bottom