Tamko la Shura ya Maimamu kufuatia Jeshi la Polisi kuwashikilia Viongozi wa CHADEMA

Tamko la Shura ya Maimamu kufuatia Jeshi la Polisi kuwashikilia Viongozi wa CHADEMA

Acha ujinga wako,ponds alisimama nayeye kwenye majukwaa ya kisiasa kuipigania chadema au umesahau??

Hiyo ilikua ni win win kwenu nyote,pia hiyo haiwez kujustify hawa mafala wenzenu wa chadema kama yericko na kigogo kumtukana samia na waislam,wafikishie hizo habari
Yeriko na kigogo ni nani hapo CHADEMA hadi uchukue matamshi yao kama official party statement? Kwahiyo Lukuvi aliposema Zenji itakua dola ya kiislam siku ikiwa huru ulikua msimamo wa chama??

Kusini mtaendelea kuburuza mkia kwenye kila kitu mtabaki kulaumu udini tu.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Acha kuandika uongo!!! Mbowe hajatenda umafia wala ugaidi wa aina yoyote ile. Watanzania wazushi kama wewe ni hatari sana kwa Taifa.
Tatizo sio kudai katiba bali ni matendo yake ya kimafia na kigaidi ya kufikia malengo yake ya kisiasa, huyu Mbowe ana uchu na tamaa iliyo pindukia kiasi kwamba yuko tayari hata kuuwa watu wengine ilimradi tu afikie anacho taka, hana utu wala ubinaadamu kabisaa.
 
Mliwapigania wapi masheih acheni unafiki kuna watu walikuwa wanatoa michango yao wanaangalia familia zao nyie mlikuwa mnatafuta kula za Waislam, mliowapigania ni kina mdude.
Kwahiyo wakiwapigania masheikh wanatafuta kura za waislam? Sasa hao hao wamkosoe Mama Samia kisa ni muislam tena?? Si watapoteza kura za waislam??

Mbona logic yako ina contradict.
 
Pangetokea mauaji mngerudi kusema serikali haina vyombo imara,vya usalama, nyie tulieni polisi wafanye kazi yao. Kama mnahuruma sana mngewakemea vijana wa Islamic state wanaouawa wakristo hapo msumbiji/mtwara
 
Mhalifu ni mhalifu tu, Mbowe ni muhalifu kama walivyo wengine. kuwa kiongozi wa chama haimaanishi kuwa hawezi kutenda makosa ya kijinai wala haizuii Vyombo vya Ulinzi na usalama kumchukulia hatu.
ndio maana leo hii ukienda gerezani kuna wahalifu wa aina mbalimbali, masheki, wavhungaji wapo, n.k .
tusihadaike eti kuwa kiongozi wa chama hawezi kuwa Gaidi! hapana, tuache sheria zifanye kazi yake, kama ni muhalifu itaamuliwa na mahakama sio vinginevyo.
Nchi yetu inaongozwa na utawala wa sheria.
 
Acha kuandika uongo!!! Mbowe hajatenda umafia wala ugaidi wa aina yoyote ile. Watanzania wazushi kama wewe ni hatari sana kwa Taifa.
wewe unamuabudu Mbowe au Mungu.
unadhani akifa utazikwa nae au utazibeba dhambi zake?
tumia akili wewe, nafsi ya mtu ni kichaka inawezekana hata mke wake hajui baadhi ya mambo sembuse ww?
hivi hujawahi kuona mchungaji kabaka au sheki? sasa unashangaa nn kwa Mbowe kuwa Gaidi?!
 
Acha ujinga wewe wapi nilipoandika kwamba namuabudu Mbowe? Acha kuandika uzushi ambao huna uthibitisho wowote ule. Mbowe angekuwa anafanya umafia na ugaidi unadhani angekuwa huru miaka yote hii!?
Wapumbavu kama wewe ni watu hatari sana kuanzisha uzushi mitandaoni uzushi ambao hata polisiccm hawana chembe ya ushahidi.
wewe unamuabudu Mbowe au Mungu.
unadhani akifa utazikwa nae au utazibeba dhambi zake?
tumia akili wewe, nafsi ya mtu ni kichaka inawezekana hata mke wake hajui baadhi ya mambo sembuse ww?
hivi hujawahi kuona mchungaji kabaka au sheki? sasa unashangaa nn kwa Mbowe kuwa Gaidi?!
 
Chadema onyeni vijana wenu kuhusisha kukamatwa kwa mbowe na udini wa mama samia.

Huko wanapokwenda waislamu wenye akili na wapenda haki watashindwa kuwaunga mkono.
Waache wafanye, nimewaona wakijaribu. Pengine hawafahamu Waislamu kiundani ni akina nani!

Watawahoji kipindi cha awamu iliyopita mbona matendo yake hayajanisibishwa na dini yake bali ni yeye mwenyewe.

Iweje huyo mumnasibishe na dini yake? Wataulizwa tu mna chuki na Uislam? Na ikishafika hii hatua wasidhani hata akina Sheikh Ponda watawaunga mkono.

Wengine wamefika mbali wamekashifu wazanzibar (japo mi ni wa bara).

Waache waje!
 
Hovyo sana hawa watu wanajiharibia sana hawajui tu.

Sioni sababu yoyote ya kina yericko kuhusisha kukamatwa kwa mbowe na kupewa tuhuma za ugaidi na udini wa mama.

I don't see the connection at all.

Wanaleta upumbavu tu na wakiendelea na ajenda yao hii sisi waislamu tutamtetea hata kama ukweli tunaujua ni muovu.
 
Wafuasi gani? Yaani comment ya fake account ndio ionywe na Mnyika?? Are you serious?

Samia is a weak president we najua unamtetea kma ulivyomtetea JK kisa udini licha ya kwamba nchi ilimshinda so piga kelele tu za udini hku Kusini mkizidi kudidimia kwenye umasikini till siku ukigundua adui yenu wa kweli ni CCM au Wakristo!!
Usipoteze muda wako kuwajibu hao kenge, ni waoga siku zote hawana hoja wana akili ndogo sana, wameitana kuja kujaza pumba zao hapa.
 
Wewe waite Waslam matusi yote siyo wa kwanza kufanya hivyo Waislam wanahusika vipi kwa kukamatwa Mbowe mpaka muwatukane hivyo?
Huna akili, wewe na mwenzio mlioitana kujaza huu uzi pumba zenu ni mazezeta tu.
 
Popularity ya Samia imeshuka sana nyie endeleeni kumtia upepo tu. Bajeti yake imefeli kabla haijaanza at the same time anaiga udikteta wakati hana results za kuonyesha wananchi??

Hyu akifika 2025 akiwa ikulu itakua muujiza. Mara kumi lile Ibilisi lilikua linajificha kwenye madaraja na mabarabara kudanganyia watu ssa huyu ataonyesha nni??
Ni suala la muda tu utalikumbuka sana hilo li ibilisi lako
 
Waache wafanye, nimewaona wakijaribu. Pengine hawafahamu Waislamu kiundani ni akina nani!

Watawahoji kipindi cha awamu iliyopita mbona matendo yake hayajanisibishwa na dini yake bali ni yeye mwenyewe.

Iweje huyo mumnasibishe na dini yake? Wataulizwa tu mna chuki na Uislam? Na ikishafika hii hatua wasidhani hata akina Sheikh Ponda watawaunga mkono.

Wengine wamefika mbali wamekashifu wazanzibar (japo mi ni wa bara).

Waache waje!
Msimamo wa mtu mmoja asiye kiongozi wa chama hauwezi kuhusishwa na chama kizima. Yeriko sijui kigogo au Fatma Karume sio viongozi wa CHADEMA so maoni yao ni individual so huwezi yahusisha na chama kizima ni mistake.

Miaka yote msimamo wa CHADEMA ni Zanzibar huru, Haki kwa wote bila kubaguana kidini au kikabila. So hawawezi tumia kete ya udini kutafuta kura. Till then mambo ya Twitter yatenganishwe na official party position.
 
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA

TAMKO LETU KUFUATIA JESHI LA POLISI NCHINI KUWASHIKILIA VIONGOZI WA CHADEMA

Shura ya Maimamu Tanzania tumefuatilia kwa kina tukio la Jeshi la Polisi kuwakamata viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendrleo CHADEMA. Tumejiridhisha tukio hilo ni ukandamizaji wa Demokrasia na haki za binadamu.

Tumepokea tukio hili kwa masikitiko makubwa.

Kushikiliwa kwa Viongozi hao wa CHADEMA na baadhi ya wanachama hao, kumetokea muda mchache kabla ya kufikia tarehe ya Kongamano la Kikatiba lilio andaliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kufanyika Jijini Mwanza Ukumbi wa Tourist Hotel.

Kukamatwa kwa Viongozi hao ni kiashiria tosha kuwa Jeshi la Polisi nchini lina endeleza hujuma dhidi ya wananchi kwakuwa haki ya kukusanyika na kutoa maoni ni haki ya Kikatiba. Na kuendelea kuwazui Watanzania kutotumia haki yao ni kuvunja Katiba.

Shura ya Maimamu Tanzania inalitaka Jeshi la Polisi Tanzania kuwaachia viongozi wote wa CHADEMA na wanachama wake bila masharti yoyote.

Pia tunazidi kushauri vyombo vya dola ikiwemo Jeshi la Polisi Tanzania, kutoendeleza vitendo vya ukiukwaji haki za raia na kukandamiza uhuru wa watu kujieleza. Kwani vitendo hivi vina leta taswira mbaya kwa taifa letu.

KATIBU MKUU
Shura ya Maimamu Tanzania
Leo tar 23.07.2021
0656654546
Naomba mlione na alilobambikiwa mwenyekiti wa chama,kwani linamfanano na lili la mashed wa uamsho .
 
Maaskofu kwasababu waliitwa ikulu wakapewa biriani wamekaa kimyaaa...
 
Msimamo wa mtu mmoja asiye kiongozi wa chama hauwezi kuhusishwa na chama kizima. Yeriko sijui kigogo au Fatma Karume sio viongozi wa CHADEMA so maoni yao ni individual so huwezi yahusisha na chama kizima ni mistake.

Miaka yote msimamo wa CHADEMA ni Zanzibar huru, Haki kwa wote bila kubaguana kidini au kikabila. So hawawezi tumia kete ya udini kutafuta kura. Till then mambo ya Twitter yatenganishwe na official party position.
Ilitakiwa chama kiwakatae mapena wahuni kama hao wanaolazimisha ajenda ya udini kwa mama samia.
 
Besides,

Mimi sijasema mbowe ni gaidi,ni polisi wanasema ana tuhuma za ugaidi!!

Waulize wafuasi wenzenu kina yericko uislam wa mama samia unaingiaje hapo? Hawawez kujenga hoja yao bila kuuhusisha uislam?

Yerricko ni msemaji wa chama, au ni muwakilishi wa wakristo hapa jukwaani? Acha kujifanya muislamu ww dogo. Kwahiyo Yerricko alipokuwa anamkosoa yule dhalimu alitumwa na waislamu? Acha utoto dogo.
 
Msimamo wa mtu mmoja asiye kiongozi wa chama hauwezi kuhusishwa na chama kizima. Yeriko sijui kigogo au Fatma Karume sio viongozi wa CHADEMA so maoni yao ni individual so huwezi yahusisha na chama kizima ni mistake.

Miaka yote msimamo wa CHADEMA ni Zanzibar huru, Haki kwa wote bila kubaguana kidini au kikabila. So hawawezi tumia kete ya udini kutafuta kura. Till then mambo ya Twitter yatenganishwe na official party position.

Huyu mtoto huwa ni mjinga sana, huwa analeta uisilamu wake kwenye mambo yasiyo na uhusiano. Anadhani kwakuwa yeye ana Udini maandazi kila mtu na anaendekeza hiyo mitazamo kama yake. Magu tulikuwa tunamuona anaenda kanisani kila siku, lakini tulikuwa tunajua fika ni mnafiki na dhalimu, na hatujawahi kumtetea eti kisa ni mkristo. Huyu mjinga akiona mtu kavaa nikabu kwake anaona ni muislamu.
 
Msimamo wa mtu mmoja asiye kiongozi wa chama hauwezi kuhusishwa na chama kizima. Yeriko sijui kigogo au Fatma Karume sio viongozi wa CHADEMA so maoni yao ni individual so huwezi yahusisha na chama kizima ni mistake.

Miaka yote msimamo wa CHADEMA ni Zanzibar huru, Haki kwa wote bila kubaguana kidini au kikabila. So hawawezi tumia kete ya udini kutafuta kura. Till then mambo ya Twitter yatenganishwe na official party position.
Nakuelewa vizuri. Tuombe mmea uendelee kumea kwenye rutba ya aina hiyo hiyo.
 
Back
Top Bottom