Tamko la Shura ya Maimamu kufuatia Jeshi la Polisi kuwashikilia Viongozi wa CHADEMA

Tamko la Shura ya Maimamu kufuatia Jeshi la Polisi kuwashikilia Viongozi wa CHADEMA

Hamna katiba ya wananchi hapo ni wahuni tu. Waislam wameingiaje hapo sijui.

Wapuuz Sana hawa, jeshi la polisi limewapa tuhuma ya ugaidi kwa sababu wanazozijua wao kama jeshi la polisi,sasa hawa wafuasi wa CHADEMA wanakuja vip kumkashifu RAIS eti KWA kigezo amewaweka mbowe na wafuasi wake selo kwa kuwa ni wakristo??chadema wendawazim sana
 
Chadema na wafuasi wao wapambane na serikali bila kuusisha uislam,nchi hii haiongozwi kwa sharia za kiislam,watambue hilo
Sijaona tamko chama kama chadema,hao ni wachangiaji kama wewe kwa hisia za udini ili kuchochea.Muwe makini kuleta udini
 
CCM haina uwezo tena wa kushawishi watanzania kihalali. Ni nguvu za kijeshi tu zinaweza kuwasaidia kuwa madarakani
 
Acha kuwa mpuuz,by the time Magufuli anakuwa criticized alihusishwa na ukristo wake??

Usijitoe ufaham,tunajua mlipooegemea
Kuna press release yoyote ambayo CHADEMA imemkosoa Mama Samia sababu ya dini yake? Au post za member wa JF ndio inageuka official party position?

No wonder mliporwa gesi na korosho.... CCM ilishajua mna reasoning ndogo sana.
 
Wafuasi wa Chadema pambane na serikali msipambane na Waislam waambieni kabisa hao mabwana zenu kina kigogo. Mtaanzisha vita vipya.
 
Look how stupid you are,

Unataka had watoe press release??

Kwan wao ni wapuuz?wanachokiongea wafuasi wao ndiyo kinachotoka kwao,kama sivyo wawaonye kutoa huo uharo wao,
 
Wafuasi wa Chadema pambane na serikali msipambane na Waislam waambieni kabisa hao mabwana zenu kina kigogo. Mtaanzisha vita vipya.

Chadema ni chama mfu kwa sasa,

By the time Magufuli anawanyoosha tukajua watakuja kutuliza akili na kuja na fikra pevu,kumbe bado wako vile vile na propaganda zao za udini... wapuuz Sana
 
Katiba mpya mnayotaka ni ipi.?
Mnalazimisha ugalatia iwe katiba au!
Mtulishe viti moto na mbege kama wakimbizi sio?
Hicho chama chenu ni nuksi.
Haiwezekani mkatuletea agenda za kumwaga damu tukae kimya.
Mbowe hafai kabisa kuongoza hata mtaa wacha nchi
Wapuuzi sana wanashikiwa akili na yule pimbi sijui kigogo anajificha kama nguchiro huku anatukana Waislam.
 
Wapuuzi sana wanashikiwa akili na yule pimbi sijui kigogo anajificha kama nguchiro huku anatukana Waislam.

Wapuuz kbs,watu wao wenyewe wamerukwa na akili kama mdude,yericko,kigogo yaani hao ndiyo kioo Chao huko kwenye social media,chama kimekuwa Cha kihuni...

Eti wanadai katiba,ya kwao tuh ndan ya chama imewashinda wanywa mbege hawa
 
Chadema ni chama mfu kwa sasa,

By the time Magufuli anawanyoosha tukajua watakuja kutuliza akili na kuja na fikra pevu,kumbe bado wako vile vile na propaganda zao za udini... wapuuz Sana
Ebu pitia vizuri hili bandiko lao ambalo walikuwa wanawashambulia Waislam.

20210724_123021.jpg
 
Wapuuz kbs,watu wao wenyewe wamerukwa na akili kama mdude,yericko,kigogo yaani hao ndiyo kioo Chao huko kwenye social media,chama kimekuwa Cha kihuni...

Eti wanadai katiba,ya kwao tuh ndan ya chama imewashinda wanywa mbege hawa
Kuna mapunguani humu sisi tunaowajibu wanatuita wadini. Lakini walichofanya wenzao ni sahihi sababu kinawafurahisha.
 
Look how stupid you are,

Unataka had watoe press release??

Kwan wao ni wapuuz?wanachokiongea wafuasi wao ndiyo kinachotoka kwao,kama sivyo wawaonye kutoa huo uharo wao,
Wafuasi gani? Yaani comment ya fake account ndio ionywe na Mnyika?? Are you serious?

Samia is a weak president we najua unamtetea kma ulivyomtetea JK kisa udini licha ya kwamba nchi ilimshinda so piga kelele tu za udini hku Kusini mkizidi kudidimia kwenye umasikini till siku ukigundua adui yenu wa kweli ni CCM au Wakristo!!
 
Ndiyo namna ya kuwafikishia hao watawala hiyo yakhe.

Kwani BAKWATA, CCT, TEK na wengine nao japo wanasema je?
Walisha pewa posho, na wamezinguana baadhi yao! Tozo tulipe sisi migao kwenye mikutano ya makundi, si sawa!
 
Sasa kwani Yericko na Kigogo wana vyeo gani ndani ya CHADEMA?

Hayo ni maoni yao yaliyopotoka, Sasa na wewe kama unataka kuwa mdini kama wao basi na wewe utakuwa huna tofauti nao

Kama.ni maoni yao basi tulia na sisi tuwajibu,unataka huo upuuz wanaosambaza uendelee kukaliwa kimya??

Kama chama hakihusika na huo ushenz wao basi waambie wafunge bakuli zao
 
Back
Top Bottom