Friends and Enemies,
Without a further do,
MODs wa JF muache tabia ya kuunganisha au kuweka maneno yenu kwenye maudhui ya fikra zetu,hii ni sehem ambayo tumedare to speak openly,acheni jukwaa Liwe huru.
ShURA ya maimamu,nimesoma waraka wenu wa kuwajibu jeshi la polisi kuhusu kushikiliwa kwa Freeman mbowe na wenzake kwa tuhuma za ugaidi na kujihusisha kuua viongoz,
Haraka haraka mmekuja kutoa tamko la kulaani na kutoa conclusions zenu,siyo jambo baya kulingana na uono wenu,lakin je nyinyi ni jeshi la polisi?jeshi la polisi wametoa observation yao na kila mtu yupo macho kuangalia kinachoendelea iweje mkurupuke kutolea kaul jambo ambalo hamna uhakika nalo?
Acheni kazi ya polisi kwa polisi,besides hao chadema mnaodhan mnaweza kuwatetea wametuma WAFUASI wao uchwara kama yericko nyerere,kigogo na wengine wengi kuwatukana waislam na uislam humu mitandaon kama Jf, Twitter, Instagram na kadhalika hamuoni??wanamtukana na KUMSHAMBULIA SAMIA kisa tuh ni Muislam utadhan ANAONGOZA NCHI hii kwa kuitumia sharia za kiislam,
Waachen chadema wapambane na hicho walichoamua kupambana nacho,
Just a piece of an advice to chadema,pambaneni na serikali na muache kupambana na uislam na waislam,samia Hassan SULUHU ni RAIS wa Tanzania na siyo Rais wa waislam,mukimzonga zonga eti kisa tuh ni Muislam basi tegemeeni battle ya jasho na damu, bring it on....