zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
We ni mdini toka enzi za Dr.Slaa ulikua unamkaanga kwa upadre wake huku ukimtukuza JK licha ya madudu yake kisa dini. Kaingia JPM umejikausha sana leo hii karudi mwenzenu mnajifanya anaandamwa kisa ni muislam.Kuna mapunguani humu sisi tunaowajibu wanatuita wadini. Lakini walichofanya wenzao ni sahihi sababu kinawafurahisha.
Shameful really