Tamko la Shura ya Maimamu kufuatia Jeshi la Polisi kuwashikilia Viongozi wa CHADEMA

Tamko la Shura ya Maimamu kufuatia Jeshi la Polisi kuwashikilia Viongozi wa CHADEMA

Kuna mapunguani humu sisi tunaowajibu wanatuita wadini. Lakini walichofanya wenzao ni sahihi sababu kinawafurahisha.
We ni mdini toka enzi za Dr.Slaa ulikua unamkaanga kwa upadre wake huku ukimtukuza JK licha ya madudu yake kisa dini. Kaingia JPM umejikausha sana leo hii karudi mwenzenu mnajifanya anaandamwa kisa ni muislam.

Shameful really
 
Na kinyume chake ni hatari. Serikali ibakie kuwa serikali na dini ziwe dini. Mambo ya viongozi kuzunguka kwneye misikiti na makanisa waachiwe mashehe, mapadre na wachungaji.
Chadema onyeni vijana wenu kuhusisha kukamatwa kwa mbowe na udini wa mama samia.

Huko wanapokwenda waislamu wenye akili na wapenda haki watashindwa kuwaunga mkono.
 
Wafuasi gani? Yaani comment ya fake account ndio ionywe na Mnyika?? Are you serious?

Samia is a weak president we najua unamtetea kma ulivyomtetea JK kisa udini licha ya kwamba nchi ilimshinda so piga kelele tu za udini hku Kusini mkizidi kudidimia kwenye umasikini till siku ukigundua adui yenu wa kweli ni CCM au Wakristo!!

Weak president eeh??

Mbona unabweka bweka kama mbwa Koko jike uliefiwa na bwana,kama ni weak president nenda barabaran ukamtoe mwenyekiti wako jela kama kweli una uhakika she's weak,unaishia Jf na Twitter tuh,nenda front tuone!!

Mwehu kweli ww
 
Na kinyume chake ni hatari. Serikali ibakie kuwa serikali na dini ziwe dini. Mambo ya viongozi kuzunguka kwneye misikiti na makanisa waachiwe mashehe, mapadre na wachungaji.
Exactly.
 
Naona unalazimisha kuonekana ni muislamu, ww sio muislam bali unajina la kiisilamu. Waislamu halisi wameongea, na hata wangeamua kukaa kimya bado ukweli tunaujua. Mbowe sio gaidi hata ungekuwa na chuki vipi na cdm kwenye hili hutoboi. Dhalimu Magu tulimpa ukweli wake na hatukujali jina lake la kikristo, na mama hatujali kama ni muislamu wala nini, tunampa ukweli. Ww pita kwenye misikiti yote waambie kuwa Samia anakosolewa kwakuwa ni muisilamu lakini hatumuachi akizuia katiba mpya.
Mimi simuumini wa siasa ila ulichokiandika kina utu wa kweli mbele za Mungu
 
We ni mdini toka enzi za Dr.Slaa ulikua unamkaanga kwa upadre wake huku ukimtukuza JK licha ya madudu yake kisa dini. Kaingia JPM umejikausha sana leo hii karudi mwenzenu mnajifanya anaandamwa kisa ni muislam.

Shameful really

Kwan uongo kuwa Dr Slaa ni Padre?

Pamoja na upadre wake lakn amewaona nyinyi ni wapuuz na amewakimbia,

Mmebakia mazezeta msiojitambua tuh huko,fanyeni siasa zinazoeleweka siyo kuganga Njaa na ujanja ujanja mafala
 
Ebu pitia vizuri hili bandiko lao ambalo walikuwa wanawashambulia Waislam.

View attachment 1866168

Mkuu,

Na hawa wanaoandika hayo ndiyo majemedari wao mitandaon hawa chadema,wanawatukana waislam na uislam bila sababu,wakijibiwa wanasema watu wengine ni wadini,wanaanzisha choko choko wakijibiwa wanalalamika,Wenda wazim sana hawa
 
mashekh ubwabwa wa bakwata sijui nao watasemaje
 
Nyie Shura ya Maimamu tulieni fanyeni shughuli zenu kwa mujibu wa katiba yenu. Acheni serikali kupitia jeshi la polisi wafanye shughuli zao hakuna mtu anauawa ni sheria ndio itatumika. Rais aliapa kuilinda katiba na sheria zake zote. We unajuaje km kongamano la katiba ilikuwa geresha tu na kuna mambo yamejificha nyuma ya pazia?

Hawa watu wana mikono mirefu wanafanya kazi hata wakati we unakoroma au unam-do mwenza wako. Hatuchelewi kuja kuilaumu serikali yakitokea yakutokea na tena nyie na mnaofananao ndio mtakuwa wa kwanza kuinyoshea kidole serikali kuwa 'hamjawahi kuona serikali dhaifu km hii kwani hawana vyombo vya usalama'?

Tuna imani na serikali yetu. CHADEMA wameshakosa mwelekeo tangia 2015 wanataka kutumia njia haramu na huruma ya wananchi.
Insane.!
 
Weak president eeh??

Mbona unabweka bweka kama mbwa Koko jike uliefiwa na bwana,kama ni weak president nenda barabaran ukamtoe mwenyekiti wako jela kama kweli una uhakika she's weak,unaishia Jf na Twitter tuh,nenda front tuone!!

Mwehu kweli ww
Kutumia jeshi hakukufanyi kuwa strong! Ila uwezo wa kumanage majukumu yako ndio ina determine strength au weakness za kiongozi.

Na ukweli usemwe Samia ni "failed Experiment" nadhani umeona popularity yake ilivyoporomoka na hajamaliza hta mwaka. Kufikia mwakani hakuna atakayetaka hta kumsikia by then tuone kelele zenu za udini kama zitakua zimesaidia wananchi kuwaelewa.
 
Ni hatua njema kutambua na kusema walichofanya polisi Mwanza na wanachoendelea nacho, ni matumizi mabaya ya mamlaka, hakikubaliki na ni kinyume cha katiba.

Mama kawapa trela ndogo tu mmelia week nzima hadi katiba na korona mmeisahau...afu peleka mzigo ukadungwe zishakuja chanjo
 
Kuna mapunguani humu sisi tunaowajibu wanatuita wadini. Lakini walichofanya wenzao ni sahihi sababu kinawafurahisha.
Mbowe kafanya nini?

" Lakini walichowafanya wenzao ni sahihi sababu kinawafurahisha."

Acheni upimbi wa akili.
 
Kwan uongo kuwa Dr Slaa ni Padre?

Pamoja na upadre wake lakn amewaona nyinyi ni wapuuz na amewakimbia,

Mmebakia mazezeta msiojitambua tuh huko,fanyeni siasa zinazoeleweka siyo kuganga Njaa na ujanja ujanja mafala
Unamjibia mdini mwenzio? watu mna Rais, waziri mkuu, jaji mkuu, mkuu wa TISS bado mnalalamika udini? Hvi mtaridhika lini?

Wakati CHADEMA inawapigania kina ponda na Masheikh wa zenji sikuona mkiwasifia. Lissu kwenye kampeni zote alikua anapiga kelele watolewe, Eti leo hii mnajifanya kuwapangia Maimamu cha kuandika??

Embiciles
 
Mama kawapa trela ndogo tu mmelia week nzima hadi katiba na korona mmeisahau...afu peleka mzigo ukadungwe zishakuja chanjo
Mama ana stress sana, wanaomuingiza 'chaka' 'wanapop' champagne![emoji16][emoji16]
 
Kwan uongo kuwa Dr Slaa ni Padre?

Pamoja na upadre wake lakn amewaona nyinyi ni wapuuz na amewakimbia,

Mmebakia mazezeta msiojitambua tuh huko,fanyeni siasa zinazoeleweka siyo kuganga Njaa na ujanja ujanja mafala
Slaa siyo Padre.

Alishaandika barua vatikani kitambo na akajibiwa.

Retired.
 
Mama kawapa trela ndogo tu mmelia week nzima hadi katiba na korona mmeisahau...afu peleka mzigo ukadungwe zishakuja chanjo
Popularity ya Samia imeshuka sana nyie endeleeni kumtia upepo tu. Bajeti yake imefeli kabla haijaanza at the same time anaiga udikteta wakati hana results za kuonyesha wananchi??

Hyu akifika 2025 akiwa ikulu itakua muujiza. Mara kumi lile Ibilisi lilikua linajificha kwenye madaraja na mabarabara kudanganyia watu ssa huyu ataonyesha nni??
 
Unamjibia mdini mwenzio? watu mna Rais, waziri mkuu, jaji mkuu, mkuu wa TISS bado mnalalamika udini? Hvi mtaridhika lini?

Wakati CHADEMA inawapigania kina ponda na Masheikh wa zenji sikuona mkiwasifia. Lissu kwenye kampeni zote alikua anapiga kelele watolewe, Eti leo hii mnajifanya kuwapangia Maimamu cha kuandika??

Embiciles

Acha ujinga wako,ponds alisimama nayeye kwenye majukwaa ya kisiasa kuipigania chadema au umesahau??

Hiyo ilikua ni win win kwenu nyote,pia hiyo haiwez kujustify hawa mafala wenzenu wa chadema kama yericko na kigogo kumtukana samia na waislam,wafikishie hizo habari
 
Mbowe kafanya nini?

" Lakini walichowafanya wenzao ni sahihi sababu kinawafurahisha."

Acheni upimbi wa akili.
Wewe punguani kweli unaniuliza Mimi Mbowe kafanya nini waulize polisi, hoja ni kwa nini nyie wafuasi wa Chadema mnawashambulia Waislam badala ya serekali na polisi.
 
Unamjibia mdini mwenzio? watu mna Rais, waziri mkuu, jaji mkuu, mkuu wa TISS bado mnalalamika udini? Hvi mtaridhika lini?

Wakati CHADEMA inawapigania kina ponda na Masheikh wa zenji sikuona mkiwasifia. Lissu kwenye kampeni zote alikua anapiga kelele watolewe, Eti leo hii mnajifanya kuwapangia Maimamu cha kuandika??

Embiciles
Mliwapigania wapi masheih acheni unafiki kuna watu walikuwa wanatoa michango yao wanaangalia familia zao nyie mlikuwa mnatafuta kula za Waislam, mliowapigania ni kina mdude.
 
Back
Top Bottom