TAMKO la TEC: Upo uwezekano baadhi ya ma Baba Askofu hawajui kilichomo

Wala sijaelewa. Naona kama unadandia treni. Ni point gani hapo inayoonyesha wewe ni msomi kama hujajitekenya tu na kujichekesha?
 
Mkuu asante kwa mchango mzuri unaojenga kutafuta tabia ya TEC kutoa waraka, tabia inayowafanya watabirike. Swali ni kwa nini wakati wote wa MKapa (1995-2005) hawakutoa waraka? Could it be due to the fact that Mkapa was fear?/was Catholic? Lakini walifanya hivyo wakatiw Nyerere ambaye alikuwa maktoliki pia. Aidha walifanya hivyo ka JPM mkatoliki na seminariani kama Mkapa? kwanini wana tabia ambayo si rahisi kutabirika?
 
Pengo aliwahi kusema tamko la kanisa katoliki huwa linatolewa na TEC. Wake maaskofu wore wameweka sahihi, pia maaskofu sio vilaza was kuweka sahihi kwa kitu wasichokijua.
Labda tumuulize Kamwaga Kama amekuwa msemaji was maaskofu au Kuna maaskofu wamemtuma akawasemee.
Kwa kifupi yeye ni chawa anayetafuta fursa ya kuonwa na uongozi uliopo.
 
Kumbe Kamwaga nae ni chura wa Mama,

Anafikiri kupata uasikofu ni iazi nyepesi
 

Una unakika kwamba hawakutoa waraka au unasema hivyo kwa sababu baadhi ya watu wanasema hivyo? Unaweza kuthibitisha au huyo aliyeandika kwamba kwa miaka 10 hawakuwahi kutoa waraka? Burden of proof iko kwa mtu anaye'claim' kwamba kwa miaka 10 hawakutoa waraka. Can you prove it?
 
Ila wa sasa si hakuna Askofu aliyejitokeza Kuupinga? Si unaona hata rais wa TEC anapigilia Msumari?
....maslahi ya sasa ni makubwa zaidi kwao zaidi ya ule utetezi wao wa mikutano ya hadhara na uwanda wa demokrasia....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Likewise can you disprove it?
 
Umemjibu vema sana, ungemuongezea na tusi.
Ameongea porojo tu....

Amezunguukaa weeee....

Nani anaubeza usomi bobezi wa maaskofu?!! [emoji15][emoji1787][emoji1787]

Hoja ni hii....

Unataka mtuaminishe kuwa ASKOFU , MSOMI ,SHEIKH hawezi KUPOTOSHA kwa kuitumia vyema elimu yake ?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mathalani ndani ya ule waraka kuna sehemu inasema "...kwa miaka 60 Tanzania haijawahi kupata mwekezaji wa bandari kutoka nje....." [emoji1787]

Hili ni kweli ?!!!
 
Alichokieleza ni ukweli mtupu usio na chembe ya doa.

kumbuka Gwajima alipomvaa Pengo kuwa amekula maharage ya wapi vile, hajui. Pengo aliwaruka wenzie kwny waraka kama hivi ila ilikuwa ni kwa magufuli
Uzushi tu....

Ushahidi huna....
 
Kwenye tamko la bandari uliloliona umeoana saini zao au majina yao tu? Mie nimeona majina yao tu.
 
Kumbe Kamwaga nae ni chura wa Mama,

Anafikiri kupata uasikofu ni iazi nyepesi
Argumentum ad hominem

Kwa hiyo ukiwa askofu unakuwa "infallible"?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Hivi shule mlikwenda kusomea "ungeeeseeer"?!!!
 
Argumentum ad hominem....

Utetezi wako dhaifu kupindukia....

Hoja si maaskofu hawajui mambo....hoja ni wao kuamua kusimamia MASLAHI yao kwa kuitumia DINI na wananchi kwa ujumla....

Hebu angalia hili....

Ndani ya ule waraka wao wanadai kuwa kwa miaka 60 Tanzania kutowahi kupata mwekezaji wa bandari kutoka "NJE"...[emoji1787][emoji1787]

Hili ni kweli ?!!!!

Nijibu
 
Hoja si kutoa waraka...

Wana haki ya kuendelea kutoa waraka....

Nani kasema kuwa kila wanachokitoa kinakosa UKWELI NA UBAINIFU ?!!![emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Ila...

Kila waraka tunafuatilia "contents" zake..ni hilo tu....

Ona hizi "contents zao"...

".....kwa miaka 60 Tanzania haijawahi kupata mwekezaji wa bandari kutoka nje...."

Huu ni ukweli ?!!!

Prove me wrong so that I can now call them "infallibles" [emoji1787][emoji1787]

#SiempreJMT[emoji120]
 
Wala sijaelewa. Naona kama unadandia treni. Ni point gani hapo inayoonyesha wewe ni msomi kama hujajitekenya tu na kujichekesha?
[emoji1787][emoji1787]

Kwanini TEC haikuwahi kutoa waraka wowote kipindi cha awamu ya 3 ya utawala wa nchi hii....

Eager to know[emoji1787]
 
Hakuna mbulula wa kihivo ndani ya TEC labda upande ule👉 ndio 'wengi' wamejaa huko!
Kila Padre ni mwanasheria.
Kila Askofu ni nguli wa sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…