Uchaguzi 2020 Tamko la Ubalozi wa Marekani kuhusu Uchaguzi Mkuu ujao Nchini Tanzania - Oktoba, 2020

D.Trump hana huo muda wa kushughulika na Siasa za Tanzania, acheni kujidanganya, ...
Unadhani marekani ndio Tz kwamba kila Kitu ni Rais?[emoji23][emoji23]

Aliyempiga Travel ban makonda ni Trump?

Mark my words here.

Matukio yote hapa yanarekodiwa
Mwisho wa Siku Kuna watu utasikia wanaitwa The Hague, kuwekewa sanctions.
 
Yani hilo tamko na huo ujumbe ulioweka wewe haviendani kabisa, ovyoooo ovyooo ovyooo, uozo uozo uozo. Watanzania wana imani na CCM, na wana imani na Magufuli. Na watampigia kura Magufuli.
Mimi ni Mtanzania, na sina imanibna Magufuli na simpi kura yangu mbaguzi mkubwa huyu, ni zaidi ya kaburu.
 
Asante kwa barua hii najua ni mwanzo mzuri kwa mtu yule kuchukuliwa hatua kali manake lazima ataiba kura tu.
 
Hii imeandikwa na ubalozi wa marekani?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mimi ni Mtanzania, na sina imanibna Magufuli na simpi kura yangu mbaguzi mkubwa huyu, ni zaidi ya kaburu.
Wewe ni mtanzania mmoja, mimi nimekwambia watanzania wao ni wengi, hivyo tegemea ushindi wa kimbunga. Magufuli atapata kura za kutosha.
Kama Ilani ya CCM inatekeleza miradi mikubwa ya maji katika miji 28, unadhani Magufuli atanyimwa kura, aah subutu. Oktoba 28 kura zote kwa Magufuli.
Chagua CCM, Chagua Magufuli.
 
Unadhani marekani ndio Tz kwamba kila Kitu ni Rais?[emoji23][emoji23]

Aliyempiga Travel ban makonda ni Trump?

Mark my words here.

Matukio yote hapa yanarekodiwa
Mwisho wa Siku Kuna watu utasikia wanaitwa The Hague, kuwekewa sanctions.

Ndiyo, ni lazima hiyo ni policy ya Raisi wa USA, USA haiwezi kuiwekea nchi xyz sanctions bila ya Raisi wa USA kukubali, na Trump na USA hawana maslahi Tanzania, hizo barua ni secretary Ubalozini anachapa kila mtu anweza kuzipata, ...
 
Nimelisoma TAMKO la Ubalozi wa Marekani Tanzania. Ni tamko ambalo mwenye akili haambiwi tazama. Mara kwa mara Matamko ya Ubalozi wa Marekani huwa na malengo mahususi.

Mauaji ya hivi karibuni ya Emmanuel Mlelwa kule Njombe yamewashitua sana Wamarekani na hawakutegemea Chadema wahusike.

Hili ni jambo zito sana na chanzo cha kuaminika ndani ya Chadema kimethibitisha kuwa imeleta mgawanyiko ndani ya Chadema.
 
Bichwa hajajibu bado waraka huu?
Akijibu mnitonye
 
Hao si ndio wanaitwa mabeberu, ngoja tuone nguvu ya mabeberu sasa, Ccm washeni moto.
 
Hao si ndio wanaitwa mabeberu, ngoja tuone nguvu ya mabeberu sasa, Ccm washeni moto.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ninavyowajua marekani lazima wamfanyie mtu kama walivyomfanyiaga raisi Noriega wa Panama
 
Ndiyo, ni lazima hiyo ni policy ya Raisi wa USA, USA haiwezi kuiwekea nchi xyz sanctions bila ya Raisi wa USA kukubali, na Trump na USA hawana maslahi Tanzania, hizo barua ni secretary Ubalozini anachapa kila mtu anweza kuzipata, ...
Jidanganye tu!!! Unafikiri Marekani ndo Tanzania??? Marekani Mfumo ndo unaendesha nchi sio Raisi
 
Swali lililopo ni je, mnao hao watu wa kupiga kura zitakazotosha kumpeleka Lisu Ikulu?

Msijisahaulishe tu kwamba mlikuwa mnahamasisha watu wenu wagomee kwenda kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.

Msijitie uhayawani wa kwamba mlikuwa mnashangilia vituo kukosa watu wa kuwaandikisha, mkasahau kwamba huo ndio mkakati wa wenzenu CCM kuhakikisha kwamba watu wao wanajiandikisha kwa wingi.

Kwa sasa mmebaki mnajifariji kwa kauli za TL atapigiwa kura na wana CCM waliomchoka JPM, hivi nani kawadanganya nyie
 
imeisha hio baba la baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…