INRI
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 1,324
- 2,319
Unadhani marekani ndio Tz kwamba kila Kitu ni Rais?[emoji23][emoji23]D.Trump hana huo muda wa kushughulika na Siasa za Tanzania, acheni kujidanganya, ...
Aliyempiga Travel ban makonda ni Trump?
Mark my words here.
Matukio yote hapa yanarekodiwa
Mwisho wa Siku Kuna watu utasikia wanaitwa The Hague, kuwekewa sanctions.