Tamko la Ubalozi wa Palestina Nchini Tanzania juu ya vita inayoendelea dhidi ya Israel

Tamko la Ubalozi wa Palestina Nchini Tanzania juu ya vita inayoendelea dhidi ya Israel

Hamas si walipata upenyo wa kutobowa jela tu, wapalestina wanauliwa kila siku ya mungu, kwenye ardhi yao wenyewe.
Ni uwongo wa hali ya juu kudai kuwa eti ardhi yote ni ya Wapalestina. Wajinga wasioijua historia watalikubali hilo.

Hiyo ardhi, ambayo kwenye vitabu vyote vya dini, Biblia na Quaran, inaitwa holy land, ilikuwa ya Wayahudi..

Kilicho muhimu ni kuona namna ambayo wote wanaweza kuishi kwa amani, kwa pamoja.

Tatizo kubwa kwa upande wa Palestina ni kukumbatia makundi ya kigaidi. Wapalestina hawawezi kupewa uhuru kamili wala kuaminika mbele ya Israel kwa sababu ya hofu ya makundi haya ya kigaidi kujijenga na kisha kuwa hatari kwa usalama wa Waisrael.
 
Yote 100%
 
Mwenye anafahamu anifahamishe hamas ni jeshi la palestina au kikundi tu kutoka hiyo nchi?
Hamas ni kundi ambalo kwa mataifa mengi linafahamika ni kundi la kigaidi. Lakini ndani ya Palestina, Hamas ni kundi la wanamgambo linaoamini katika mapambano ya silaha kuweza kurudisha ardhi wanayoamini ilikiwa ya Wapalestina, ikanyang'anywa na Israel.

Mbinu kubwa wanazotumia ni za kigaidi, sawa na ilivyo Hizbollah. Makundi haya ypte mawili, wanapewa mafunzo, silaha na kusaidiwa na kwa namna mbalimbali na nchi ya Iran.
 
Ukweli ni kwamba Palestina hawapewi nafasi ya upendeleo kama Israel kwasababu hawana kitu, kama Palestina wangekuwa na mafuta, gesi asilia au teknolojia ungekuta Nchi kibao zina laani. Sema waisraeli Mungu wao ni Baali na Molech ndio maana hawana huruma na pia wapalestina Mungu wao Allah hana msaada

Hapo jerusalem kuna laana ya kumwaga damu za watu kama kafara
 
Back
Top Bottom