mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Wahafidhina ni shida sana katika dunia !!Msimamo mkali pande zote mbili ndio zinataka mgogoro uendelee.
Haya makundi yakidhibitiwa halafu warudi kwenye makubaliano ya Oslo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahafidhina ni shida sana katika dunia !!Msimamo mkali pande zote mbili ndio zinataka mgogoro uendelee.
Haya makundi yakidhibitiwa halafu warudi kwenye makubaliano ya Oslo.
Duh 🙄. !Mlikamata Mapanga ya CUF lakini Mapanga ya yaliyoagizwa na Interahamwe kwenda kuua Wanyarwanda wa Kabila la Kitutsi mliyaacha yapite yakiwa yamebebwa na Malori ya Kabuga Felicien.
Very good.Daima usikubali mtu mwengine akufunze kufikiri, hizi Dini zinatumika kutufanya tusiwe free thinkers.
Ndio maana tuko Jamii Forums Home of Great thinkers.
Serikali ya Palestina ndio inawafuga hao Hamas, sasa ndio mwendo wa kipondo.Very good.
Utu kwanza kabla ya dini zetu.
Katika hili la vita Kundi la Hamas linawaharibia Paleatina yote bure.
Najiulize makao makuu ya serikali ya Palestina na viongozi wake viko salama?
Israel haijayagusa?
Nijuavyo hii vita haikupaswa kuwaathiri wanaharibiwa na magaidi ya Hamas kwa kifadhiliwa na Iran
Makao Makuu yako kingo za Magharibi za Mto wa JordanNajiulize makao makuu ya serikali ya Palestina na viongozi wake viko salama?
Israel haijayagusa?
hao waisraeli ndio madogi wamekuwa wakiua wapalestina mpaka watoto humukua mukiona mkuki kwa simba ni mtamu kwa binadamu ni mchunguHao Palestina ni mambwa mbona hayakulaani mauwaji ya Raia wa Israel, Huo ubalozi ni wa vibwengo tupu
So yako salama?Makao Makuu yako kingo za Magharibi za Mto wa Jordan
Hayakosi Changamoto lakini yako Salama.So yako salama?
Kwa hiyo kuwaua hao Waisrael ni jambo jema kwao? Sijaona barua ikilaani mauaji ya raia wa Israel 600 yaliyotendwa na Hamas hapo JumamosiView attachment 2777870
View attachment 2777872
The embassy of the state of Palestine in Tanzania Statement
The declaration of war by Israel, the occupying Power, on a civilian population it has been illegally and forcibly occupying and oppressing for decades is a continuation of its record of criminality and impunity. This is reinforced and affirmed by Israeli officials who have issued genocidal and hateful calls for ethnic cleansing publicly and unashamedly.
The scenes of devastation inflicted on Palestinian civilians in the Gaza Strip are harrowing. The international impunity Israel enjoys is a moral, political, and legal stain affront to humanity and basic decency as well as the principles of international law. Any attempt to excuse or cover these crimes is unacceptable and outright reprehensible.
The facts are not in dispute. Israel, as an occupying Power, is fully responsible for this situation because it insists on keeping the Palestinian people captive and stripping them of their rights for over half a century. Israel has illegally used force and the threat of force, confiscation of land, persecution, collective punishment, and reprisals to deny the Palestinian people their fundamental rights and serve the common aim of displacing and replacing the Palestinian people, in violation of their right to self- determination and other peremptory norms of international law.
We are in this situation because the world failed to do what is needed and turned its back on Palestinian rights. Simplistic statements that omit Palestinian lives and rights and encourage their violation have to stop. As an occupying Power, Israel has no right or justification to target the defenseless civilian population in Gaza or elsewhere in Palestine. Reprisals against civilians in armed hostilities are illegal under international humanitarian law and must stop.
In view of the open war declared by Israel on the Palestinian people in Gaza and the critical and ever-worsening situation of the Palestinian people under Israel's colonial occupation and apartheid regime in the rest of the Occupied Palestinian Territory, including East Jerusalem, the international community must immediately intervene and provide international protection to the Palestinian people and end Israel's barbarous campaign of death and destruction. The international community must also act on their collective.
political, legal, humanitarian, and moral responsibilities towards this prolonged injustice. It has a responsibility to promote accountability, which is the only viable remedy for this illegal, abhorrent situation. The Palestinian people will continue to defend themselves, their homes, and their fundamental right to live in freedom and dignity, free from occupation, apartheid, and persecution.
Gaza itabaki historia kama Ukanda wa Gaza SinzaHata mimi pia nashangaa sana 🥴🥴,
Ila tuwe wavumilivu kufikia kesho mchana , GAZA itakua haipo kabisa kwenye map. 😎😎
Na Israel alikuwa anazisubiri nafasi za aina hii ili ajiongezee eneo!, unfortunately wameingia king!Kwani nani alimuanza mwezake?
Hilo ndilo jibu sahihi.Hamas si walipata upenyo wa kutobowa jela tu, wapalestina wanauliwa kila siku ya mungu, kwenye ardhi yao wenyewe.
"Wapigwe Tuu" PM Mzengo Pinda(20XX)Hamas si walipata upenyo wa kutobowa jela tu, wapalestina wanauliwa kila siku ya mungu, kwenye ardhi yao wenyewe.
Hilo wala halijaanza leo na wala siyo geni kwao."Wapigwe Tuu" PM Mzengo Linda(20XX)
Nisawa CCMNi chama cha Siasa