Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Hamas si walipata upenyo wa kutobowa jela tu, wapalestina wanauliwa kila siku ya mungu, kwenye ardhi yao wenyewe.
Mlikamata Mapanga ya CUF lakini Mapanga ya yaliyoagizwa na Interahamwe kwenda kuua Wanyarwanda wa Kabila la Kitutsi mliyaacha yapite yakiwa yamebebwa na Malori ya Kabuga Felicien.Ni kama Cuf ilivyokamatwa na Majambia!
Alikamatwa gaidi piaMlikamata Mapanga ya CUF lakini Mapanga ya yaliyoagizwa na Interahamwe kwenda kuua Wanyarwanda wa Kabila la Kitutsi mliyaacha yapite yakiwa yamebebwa na Malori ya Kabuga Felicien.
Kyiv tu bado ipo, sema binadamu haya mambo ya vita basi tu, binadamu tuna roho ngumu sana.Nashangaa mpaka sasa bado Gaza ipo!ππππ
Ugaidi hauna nafasi kwenye Jamii iliyostaarabika.Alikamatwa gaidi pia
Ni uwongo wa hali ya juu kudai kuwa eti ardhi yote ni ya Wapalestina. Wajinga wasioijua historia watalikubali hilo.Hamas si walipata upenyo wa kutobowa jela tu, wapalestina wanauliwa kila siku ya mungu, kwenye ardhi yao wenyewe.
Yote 100%Ni uwongo wa hali ya juu kudai kuwa eti ardhi yote ni ya Wapalestina. Wajinga wasioijua historia watalikubali hilo.
Hiyo ardhi, ambayo kwenye vitabu vyote vya dini, Biblia na Quaran, inaitwa holy land, ilikuwa ya Wayahudi..
Kilicho muhimu ni kuona namna ambayo wote wanaweza kuishi kwa amani, kwa pamoja.
Tatizo kubwa kwa upande wa Palestina ni kukumbatia makundi ya kigaidi. Wapalestina hawawezi kupewa uhuru kamili wala kuaminika mbele ya Israel kwa sababu ya hofu ya makundi haya ya kigaidi kujijenga na kisha kuwa hatari kwa usalama wa Waisrael.
Karibu tena mteja wangu!Yote 100%
Hamas ni kundi ambalo kwa mataifa mengi linafahamika ni kundi la kigaidi. Lakini ndani ya Palestina, Hamas ni kundi la wanamgambo linaoamini katika mapambano ya silaha kuweza kurudisha ardhi wanayoamini ilikiwa ya Wapalestina, ikanyang'anywa na Israel.Mwenye anafahamu anifahamishe hamas ni jeshi la palestina au kikundi tu kutoka hiyo nchi?
π Na hiyo ni very important.Tatizo kubwa kwa upande wa Palestina ni kukumbatia makundi ya kigaidi.
Hata mimi pia nashangaa sana π₯΄π₯΄,Nashangaa mpaka sasa bado Gaza ipo!ππππ
Bro unajielewa, uwe unawaelimisha na ndg zako wa imani plz.Mbona Balozi hajaishutumu Hamas.
Uhuni huuYote 100%
Daima usikubali mtu mwengine akufunze kufikiri, hizi Dini zinatumika kutufanya tusiwe free thinkers.Bro unajielewa, uwe unawaelimisha na ndg zako wa imani plz.
Big up sana