Tamko la Ubalozi wa Palestina Nchini Tanzania juu ya vita inayoendelea dhidi ya Israel

Hapana asiye kumbuka uovu wa Hamas jumamosi ile ni wao ndio waliokuwa wakwanza kumshambulia israeli tena kwa tambo na shangwe tuliwaambia msije kulia lia humu. Mmeambiwa ardhi yenu itabaki majivu na itabaki historia kuwa mliwahi kuwepo
Ndipo upeo wako ulipoishia. Hauna tofauti na kipofu aliyeona punda.

Ingia japo kidogo mtandaoni ujitafutie ukweli upate upeo mpana kidogo.
 
Nakuonea huruma na mzigo wa hijabu kichwani mwako unafunika mpaka uwezo wako wa kufikiri. Unatia huruma ila hatuwezi kuwahurumia katika hili
 
Wamelianzisha kipindi kibaya kwao. Utawala wa Benyamini Netanyahu hawezi kuwaacha waendelee kuisumbua israel.

Gaza itakuwa kifusi bila viumbe hai.
 
Hakuna cha karne na karne, hizo pumba tu.

Huu unyama wa Waingereza Na Wamarekani kuwaleta ashkenazi jews na kuwanyanganya ardhi yao Waarabu na kuwapa hao wayahudi ndipo ilipoanza vita, mwaka 1948.
Rudi nyuma utajua kuwa Warumi walifanya Wayahudi wakimbie ardhi yao na kutawanyika duniani!
 
Wenye Mungu myahudi wanawachakaza wenye mungu wa majini na mungu wenu hakuna kitu atafanya 😊
Hapana, wenye Mungu myahudi huko hawatakiwi hata kumtaja jina lake. Unaonesha upo finyu sana kichwani hata huelewi mwenye mungu myahudi ni nani.
 
Hilo wala halijaanza leo na wala siyo geni kwao.

Na wao wakiipata upenyo japo kiduchu wanafanya kweli. Wayahudi wanikimbia nchi huko. Usifikiri hiki kimbembe ni cha upande mmoja tu.
Prime minister kasema anaenda kuigeuza Gazza kuwa Majivu
 
Kwani bado mnaiongelea gaza tu?

Gaza kwisha jazi yake, watu toka jana wapo Lebanon na Syria.

Vita ishapanuka huko. Umelala?

Leo tunangoja Egypt na Jordan.
 
Soma Quran 5:21 ndio utajua nchi hiyo ni ya nani. Nchi hiyo mwanzo iliitwa Kanani, Mungu kawapa Waisraeli. Kwenye Biblia na Quran utapata nchi iitwayo Israel, na Sura ya 17 ya Quran inaitwa Bana Israel, huwezi kupata Palestina kwa sababu Palestina ni nchi feki iliyoanzishwa na Warumi mwaka 133 AD.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Muongo mkubwa mbona nimesoma sijaona ulichoandika [emoji2]

Weka hapa tuone
 
Soma Quran 5:21 ndio utajua nchi hiyo ni ya nani. Nchi hiyo mwanzo iliitwa Kanani, Mungu kawapa Waisraeli. Kwenye Biblia na Quran utapata nchi iitwayo Israel, na Sura ya 17 ya Quran inaitwa Bana Israel, huwezi kupata Palestina kwa sababu Palestina ni nchi feki iliyoanzishwa na Warumi mwaka 133 AD.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Qur'an isome wewe mwenyewe, imekuja kukuweka sawa. Usingoje ya kuambiwa.

Amri ya kwanza ya Qur'an ni "soma".
 
Kwani bado mnaiongelea gaza tu?

Gaza kwisha jazi yake, watu toka jana wapo Lebanon na Syria.

Vita ishapanuka huko. Umelala?

Leo tunangoja Egypt na Jordan.
Zimeshashuka F-16 ajichanganye mtu!

Misri ameshaambiwa akifungua geti la mpaka wake wakimbizi wa Palestina kutoka Gaza wakimbilie kwake atakipata cha moto. Hadi Sasa hivi hajafungua.

Syria viwanja vya ndege viwili vimelipuliwa Jana au umesahau.

Lebanon watu 13 wameshakufa

Ubaya nyie waislam wafia dini mna unafiki sana.

Kule Uighur china Kuna waislam wanateswa zaidi ya hapo Gaza ila sijawahi kusikia muislam yoyote anawakemea wachina.

Kule Uighur wachina wamejenga makambi ya waislam wanasilimishwa Kwa nguvu kuachana na uislam. Wanawake wa kiislam wanahasiwa na kupandikizwa vitu vya uzazi wa mpango wasizae watoto waislam Ili ile jamii ya waislam isiongezeke.

Ila sijawahi kuona wachina wanapingwa
 
Utaskia wanakwambia bora mchina kuliko mzungu
 
Hizo hazijaanza leo wala hazitakwisha leo, wala hatuzijali.

Hujaona vijana wanashuka na miavuli ya mafeni? Ipo wai, haina nini wala nini na wanamlampa mtu anachostahiki hivyoihivyo.

Kwani bado mnaiongelea gaza tu?

Gaza kwisha kazi yake, watu toka jana wapo Lebanon na Syria.

Vita ishapanuka huko. Umelala?

Leo tunangoja Egypt na Jordan.

Unafahamu kuwa hamas jana wamerusha tena makombora ya kutengeneza tabata huko Haifa?
 
Egypt hapo wanacheka tu, hawahitaji kufunguwa mpaka. Hivi huelewi siku zote kuna mabarabara ya chini ya ardhi baina ya Egypt na Gaza?

Kweli umelala.
 
Hizo hazijaanza leo wala hazitakwisha leo, wala hatuzijali.

Hujaona vijana wanashuka na miavuli ya mafeni? Ipo wai, haina nini wala nini na wanamlampa mtu anachostahiki hivyoihivyo.

Kwani bado mnaiongelea gaza tu?

Gaza kwisha kazi yake, watu toka jana wapo Lebanon na Syria.

Vita ishapanuka huko. Umelala?

Leo tunangoja Egypt na Jordan.

Unafahamu kuwa hamas jana wamerusha tena makombora ya kutengeneza tabata huko Haifa?
We endelea kushabikia vita huku civilians wanakufa.

Hamas walirusha makombora 5,000 Israel kama ungekuwa na akili Hadi Sasa ungejiuliza kwanini Israel Bado ipo Hadi Sasa hivi Kwa kurushiwa makombora 5000 mfululizo.

Bila ile iron dome Israel Leo ingekuwa Majivu. Makombora 5,000 si mchezo. Katika hayo makombora 5,000 yaliyoweza kupenya hayazidi 100.

Nyie waislam elimu Dunia mnaipa kidogo wenzenu Israel pale Rafael Advanced Defense Systems wameajiri vijana 8000 kazi Yao ni kuchakata mifumo ya ulinzi wa Israel.

Hadi muda huu tunaongea hapa vita inaendelea ila iron done inazidi kusukwa na kampuni ya Rafael Advanced Defense Systems.

Hizo nchi zote unazosema zitarusha makombora yatakapenya hayatazidi 100 ila yatakapenya kwenye nchi zao nchi zitakuwa majivu
 
Muislam ni haki yake kujihami anapoonewa. Kumbuka hilo.

Hakuna Muislam anayetaka vita duniani.

Uislam ndiyo dini pekee ya amani duniani. Kumbuka hilo.
 
Back
Top Bottom