FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Ndipo upeo wako ulipoishia. Hauna tofauti na kipofu aliyeona punda.Hapana asiye kumbuka uovu wa Hamas jumamosi ile ni wao ndio waliokuwa wakwanza kumshambulia israeli tena kwa tambo na shangwe tuliwaambia msije kulia lia humu. Mmeambiwa ardhi yenu itabaki majivu na itabaki historia kuwa mliwahi kuwepo
Ingia japo kidogo mtandaoni ujitafutie ukweli upate upeo mpana kidogo.