LGE2024 Tamko la Vyama nane vya siasa rafiki kwa CCM | vyaishambulia CHADEMA

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
19 November 2024

TAMKO LA VYAMA NANE VYA SIASA RAFIKI KWA CCM KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 | VYAISHAMBULIA CHADEMA

View: https://m.youtube.com/watch?v=HFSf_Bu5y9E

Vyama hivyo rafiki wa CCM chama dola kongwe, vikiongea na waandishi wa habari kiongozi wa chama cha UMD wametaka vyama vikubwa kutulia.

Wakasisitiza kama vyama hivyo vikubwa wagombea wao wameenguliwa basi wawapigie vyama vingine vidogo vya upinzani ambavyo hawakuenguliwa badala ya kuwa na choyo kwa kupigiana kura vyenyewe vikubwa, kwa kuwa vyama vidogo ni sehemu ya upinzani hivyo wapeleke kuŕa kwa vyama vidogo ....

Vyama hivyo vidogo vya UMD, UDP, UPDP, CCK, ADA-TADEA, AFP, NLD, SAU n.k vimesema vimejizatiti kutoa Upinzani kwa CCM pale ambapo kitakuwa na mgombea wao.

Kuanzia kesho watakuwa wanaanza kampeni na OCD wa Polisi katika maeneo husika wamepewa taarifa kwa barua kuwa vinaanza kampeni tarehe 20 November hadi 26 November 2024 kama kanuni za Uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 zinavyoelekeza...

Vyama hivyo rafiki wa CCM wakumbushia kuwa vyama vyote vya siasa viliridhia kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa Agosti 2024 waliookutana na mheshimiwa Mohamed Mchengerwa waziri wa OR TAMISEMI..
 
Vyama hivyo vidogo vimesema vimejizatiti kutoa Upinzani kwa CCM pale ambapo kitakuwa na mgombea wao.

Kuanzia kesho watakuwa wanaanza kampeni na OCD wa Polisi katika maeneo husika wamepewa taarifa kwa barua kuwa vinaanza kampeni tarehe 20 November hadi 26 November 2024 kama kanuni za Uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 zinavyoelekeza...

Vyama hivyo rafiki wa CCM wakumbushia kuwa vyama vyote vya siasa viliridhia kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa Agosti 2024 waliookutana na mheshimiwa Mohamed Mchengerwa waziri wa OR TAMISEMI..

Mwenyekiti baraza la vyama vya siasa azungumzia kazi ya baraza hilo​

15 August 2024, 5:58 pm

vlcsnap-2024-08-15-17h47m29s507-1024x576.png
Picha ni Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini Tanzania, Juma Ali Khatibu.Picha na George John.
Khatibu amesema kitendo cha kuhudhuria viongozi na wajumbe wa baraza katika tukio hilo ni ishara wapo tayari kushiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa.

Na Seleman Kodima.
Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini Tanzania, Juma Ali Khatibu amesema kazi kubwa ya baraza hilo ni kuishauri Serikali katika mambo muhimu yanayohusu siasa na wananchi, huku akiishukuru Serikali kwa ushirikiano inaouonyesha.

Khatibu ameyasema hayo leo kwenye hafla iliyoandaliwa na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) ya kutoa tamko kuhusu uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024.

vlcsnap-2024-08-15-17h21m41s456-1-1024x576.png
Picha ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine Shigela.Picha na George John.

Tukio hilo limehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa, Serikali akiwemo Naibu Msajili wa vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza huku mgeni rasmi akiwa ni Waziri wa Tamisemi, Mohamed Mchengerwa
 
Wazungumzaji wote wa hivyo vyama sura zao zinanuka njaa
Ni msimu wao wa mavuno wakati huu; kwa hiyo ni lazima wafanye jitihada waonekane wapo kazini.

Hawa wanalipwa kwa kufanya hizi kazi za ubabaishaji.
Vyama vipo kusubiri fursa tu!

CHADEMA wakisema hawashiriki uchaguzi; wao wanaona hiyo ni fursa kuwapa CCM sifa ya kushinda uchafuzi, kwa wao kuhesabika kuwa washiriki katika uchaguzi kama vyama vya upinzani.

Kwa hiyo kazi yao inajulikana.
 
siasa za Tanzania raha sana aise,

yaani chama kimoja cha siasa, kinababaika na mipango, uelekeo na maamuzi ya chama kingine kwa mihemko kabisa 🤣
 
Mwanzo walinunuliwa suti na viatu vipya , safari hii wamenunuliwa nini? wanatumika kuliko hata yale makaratasi, Wanatia aibu!
 
19 November 2024

TAMKO LA VYAMA NANE VYA SIASA RAFIKI KWA CCM KUELEKEA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2024 | VYAISHAMBULIA CHADEMA

View: https://m.youtube.com/watch?v=HFSf_Bu5y9E

Vyama hivyo rafiki wa CCM chama dola kongwe, vikiongea na waandishi wa habari kiongozi wa chama cha UMD wametaka vyama vikubwa kutulia.

Wakasisitiza kama vyama hivyo vikubwa wagombea wao wameenguliwa basi wawapigie vyama vingine vidogo vya upinzani ambavyo hawakuenguliwa badala ya kuwa na choyo kwa kupigiana kura vyenyewe vikubwa, kwa kuwa vyama vidogo ni sehemu ya upinzani hivyo wapeleke kuŕa kwa vyama vidogo ....

Vyama hivyo vidogo vya UMD, UDP, UPDP, CCK, ADA-TADEA, AFP, NLD, SAU n.k vimesema vimejizatiti kutoa Upinzani kwa CCM pale ambapo kitakuwa na mgombea wao.

Kuanzia kesho watakuwa wanaanza kampeni na OCD wa Polisi katika maeneo husika wamepewa taarifa kwa barua kuwa vinaanza kampeni tarehe 20 November hadi 26 November 2024 kama kanuni za Uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 zinavyoelekeza...

Vyama hivyo rafiki wa CCM wakumbushia kuwa vyama vyote vya siasa viliridhia kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa Agosti 2024 waliookutana na mheshimiwa Mohamed Mchengerwa waziri wa OR TAMISEMI..

Wajinga sana
70b04c7a-a756-4906-87a7-f4f7d47d0a7d.jpeg
 
Kama CCM A ipo kwa nini nihangaike kuchagua CCM B. ?
MIMI nitachagua kati ya wagombea wawili wa CCM na CHADEMA anayefaa nitampa kura yangu. Nikikuta mgòmbea wa ccm na vyama vibaraka alias CCM B au mgombea wa CCM hana mpinzani napIga kura ya HAPANA.
 
Back
Top Bottom