Tamko la waumini wanaopinga Parokia ya Kawe kuendeshwa kinyume cha taratibu za Kanisa Katoliki

Yaani nyie ni kamati ya ufuatiliaji tu! na vipi Halmashauri yenu ya walei? mbona wao hawako nanyi kwenye hili? Fateni sera za kanisa katoliki mambo ni kwa hirakia tuu?
 
Duuh..! jamaa nalijua sana ni kauzu bin uduvi balàa
 
Leta bia tunywe tunavosikilizia mtafaruku wa watumwa wa mzungu
 
kanisa la katoliki lini migogoro dunia nzima sema uditeta wa papa unaficha mambo kitemi, lejea kwenye ishu ya askofu wa Zambia,
 
kwa tabia kama za huyu padri nafikiri wengi wanazo siku hizi. Inawaondolea waumini imani na morari wa kufanya kitubio kwa kumshirikisha.

kuna siku niliwahi kuleta uzi humu juu ya tabia za watumishi wa bwana kama hawa..aisee nilifua sana nguo siku hiyo nilipokea mapovu humu ya kila rangi.

 
Hao kamati ya ufuatiliaji ni akina nani?

Sijaona kama wana busara kumshurutisha kuhani wao hivyo..
Na inaonekana ni kikundi cha watu wachache tu..

Ila hapo baba paroko alipo taja siri za dhambi za mzee wa watu kama kweli basi alizingua sana.
Hilo la kitubio linawez kumtoa upadre
 
Watu tukisema hizi dini ni mali ya viongozi na ndio wanaozifaidi watu wanakataa. Unaona parokia ni mali ya paroko, hakuna mtu wa kumhoji kula sadaka atakavyo.

Utakuta wakatoliki wanaponda walokole kua wanaibiwa huku wamesahau wanavyoibiwa wao, kila huduma kanisani inalipiwa, iwe ndoa, ubatizo, sijui madudu gani.

Dini ni taasisi za kitapeli, hazina msaada wa waumini zaidi ya kuwanyonya.
 
Papa ameruhusu watu waliooa kuhudumu upadre kwa baadhi ya nchi za S. America. Hivi mmnataarifa? Mbona hili hamuandamani kupinga?
 
Karibuni mlima wa moto ... huku kuna upepo wa kisulisuli
 
Hilo la kitubio linawez kumtoa upadre
Kuungama kwa Padre Kuna maneno Kuna kijana mmoja alishawahi kwenda kuungama kwa Padre dhambi ya uzinzi kuwa alizini na msichana akamtaja jina huyo msichana .Kumbe yule msichana ni hawara yake na padri aliyekuwa akiungamisha.

Kilichofuata yule padri alitoka na yule msichana jioni kwenda kunywa pombe akamtandika makofi yule msichana na kumtukana kuwa ni Malaya anatembea hovyo akamtajia na mvulana anayetembea naye.Yule msichana akashtuka akasema unanionea ulnani kakwambia huo uongo? Padri akasema kaniambia kijana mwenyewe alipokuja kuungama
 
Source?
 
Wakatoliki wanavo jidaiigi wao changamoto aziko haahaha!! Wanajudaigi wao dini kubwa kipindi cha karibuni ni full migogoro
 
Hata mimi nimesoma hapo st Clara parokiani ila uli ni tangulia miaka mkuu nilikuwa enzi mkuu wa shule sister jenipher nikawa mtumikizi wa altare kipindi cha paroko yuda akaja kuondoka hapo kawe 2005 akaja padr moja wakuitwa Gabriel Mshanga alikuwa paroko msaidiz wake alitwa France 2009 akaj kundi mwaka 2011 nika hama parokia mwaka ulisoma utakua una mfahamu fr yuda na paulo jamaa gar yake ilipinduka ikawa kama makumbusho ilipaki ofis ya parokia
Mwaka gani maana nimesoma hapo vidudu hapo kanisani mwaka 84 mpk 85.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…