Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Heri ya Noeli ndugu Waumini toeni sadaka kwa wingi tulitegemeze jimbo tusitegemee Mabeberu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushahidi umekosekanaTabia yake ya ulevi na kula wanakwaya mbona ujahianisha mkuu...
ishu ya migogoro kawe ipo hata kabla pengo hajastaafu, cha muhimu hapo hilo shirika linyang'anywe parokia waichukue jimbo migogoro itakomaNdio maana tulisema kumstaafisha Pengo sio sahihi
Yule ni Kiongozi anajua jinsi ya kutatua changamoto
Fr mshanga alikuw jembe msaidiz wake fr francisparokia ya kawe tangu aondoke Fr. Mshanga haijabahatika kupata tena paroko ila vitimbwi kila uchao
HopeKwa kashfa hizo huyo Padre Atakuwa ashachepuka na waamuni wa kike hapo??
Ova
Ahaaa nimecheka sana yaani nimewaza ila nimecheka daah Padre mbeaHao kamati ya ufuatiliaji ni akina nani?
Sijaona kama wana busara kumshurutisha kuhani wao hivyo..
Na inaonekana ni kikundi cha watu wachache tu..
Ila hapo baba paroko alipo taja siri za dhambi za mzee wa watu kama kweli basi alizingua sana.
Mbona yeye katoa Siri za watu kwenye kitubio?Ingawa mimi si mkatoliki ila hii njia uliyoitumia kuweka hadharani hivi huu mgogoro siyo sahihi labda kama mngetumiana wakatoliki wenyewe, Jaribuni kutatua migogoro yenu wenyewe ndanindani kwa ndanindani pasi na kuonyesha watu wa nje ambao wengi badala ya kuwasaidia watawadhiaki na kuwakashfu na hivyo lengo kutofikiwa
Nina imani malalamiko yenu viongozi wenu wanayashughulikia kama mlishawaeleza kuweni na subira majibu au hatua wakati mwingine zinachukua muda kulingana na tatizo husika
Mnatubu kwa binadamu Kama sisi? Ambae ni muoga Kama sisi wazalendo?