Tamko la wazee Chadema: Mbowe ndiye kiongozi pekee barani Afrika asiyelipwa posho wala malipo yoyote na chama chake, anajitolea!

johnthebaptist,
Wazee wa jimboni kwake wanamkataa na wanajua ni mpigaji. Hao wazee wa Chadema wanatwanga maji kwenye kinu. Nenda jimboni kwake Wazee na vijana hawamtaki kabisa. Mpiga madili na alitaka JPM aweke lockdown ili tuteseke.
 
Mtu mweusi hawezi fanya kazi bure haitokaa itokee duniani na ahela/peponi

Yupo kwa ajili ya maslahi tusidanganyane wazee, kwani bila yy chama hakiendi?
 
Eti anajitolea!

Anakitengenezea chama madeni hewa ili ajilipe. Huyu Mbowe arudishe pesa na afukuzwe chama
Umeishapeleka vielelezo vyako? Basi we ndio wakwamisha kwa porojo zako.
 
Amesha wapiga kahawa wazee wa watu na alkasusu Ila mbowe ajiandae kua Kama lipumba Mana chama kinaenda kua mzigo kwake
 
Mbowe arudishe bilion nane. Aache kuwatumia wazee kuhalalisha ufisadi wake
Jibu hoja kwa hoja, hapo inaonesha namna ambavyo vijana hatufikirii vema.
Mimi nawauliza, je nini malengo ya tajir kufanya kazi bure na Kama anafilisiwa lakin bado hakati tamaa basi Kuna mawili; anafaidika ama kaamua kuwa mzalendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…