Tamko la wazee Chadema: Mbowe ndiye kiongozi pekee barani Afrika asiyelipwa posho wala malipo yoyote na chama chake, anajitolea!

Mataga watasema wazee wamenunuliwa na Mbowe
Waliishamaliza silaha zao zote walizotumia kwa NCCR, baadae CUF na pia wakanunua na kupandikiza mamluki, lakini WAMESHINDWA.
Sasa wanahanjahanja kuokoteza na kulazimisha vijisababu kama mafarisayo.
Hizi ni dalili za wazi kuwa wako HOI wakifikiria kupambana mwamba mgumu MBOWE.
CHADEMA iko imara sasa, wakati wa na hata baada ya uchaguzi October. Amen
 
Kama wazee wamesema hivyo Mimi ninani mpaka niwapinge wazee.
wazee nao kweli ni wazee sasa own property alipwe nini na nani,yeye anachukua tu atakavyo au wazee hawakumuelewa katibu mkuu aliyejiuzuru Dr. Mashinji?
 
Amesha wapiga kahawa wazee wa watu na alkasusu Ila mbowe ajiandae kua Kama lipumba Mana chama kinaenda kua mzigo kwake
Wazee wa chadema
FB_IMG_15906896585392420.jpg
 
Mbowe arudishe bilion nane. Aache kuwatumia wazee kuhalalisha ufisadi wake
Mwambie meko na bashiru waripoti takukuru,ripoti ya cag imesema wamekula mabilioni sawa dada yangu,punguza munkari utapewa hata ukatibu kata chato
 
Ndio maana nchi za Africa zinatawaliwa kidikteta na hakuna maendeleo kwa sababu ya watu kama nyie.
Ni chama cha familia Kwahiyo pesa zinazoingia zinaenda kwenye familia ukihoji unatishiwa sumu km Sumaye
Hahaha Mbowe asulubiwe,
Michango ya wabunge bilioni 8.9 azirudishe kwanza kisha ndo tujadili huo uvumilivu wake.
Wewe tulia Chadema ni saccos ya familia ya Mbowe.
Billion 8 za michango ya wabunge ziko wapi?

Kutolipwa posho si tiketi ya kuwa mwizi wa ruzuku ya chama.
 
Tunataka TAKUKURU ifanye uchunguzi kwa ccm na viongozi wake,hofu yao ya uchaguzi isiwe kigezo cha kutumia vyombo vya dola kuhujumu vyama vingine. Kama takukuru ina nia ya dhati kusimamia fedha za vyama vya siasa Basi isioneshe upendelea wenye nia hasi, cuf tuliambiwa walitoa fedha kwenye akaunti ya chama na kuweka kwenye akaunti binafsi lkn hatukusikia takukuru wakifuatilia,ccm kumeibuliwa madudu hatukuona wakifuatilia, na hata serikalini pia iweje Leo iwe kwa chadema? Kuna mpango gani?
Lijuakali ccm,?mbwa kabisa wewe
 
wazee nao kweli ni wazee sasa own property alipwe nini na nani,yeye anachukua tu atakavyo au wazee hawakumuelewa katibu mkuu aliyejiuzuru Dr. Mashinji?

Vijana tafuteni hela msikae kuwalaumu watu ambao wamewaacha kwa kila kitu.
 
Mbowe ni kiongozi ambaye ni mkomavu kisiasa angekua mchumia tumbo kama mamluki wa Lumumba angeshaunga mkono juhudi siku nyingii! Alikuwa tajiri sana lakini wamemfilisi Mali zote kama walivyomvunjia Club billcanas kwa figisu tu Aishi maisha marefu Mwambaa!
 
Baraza la wazee wa Chadema limetoa tamko lake la kumtetea Mwenyekiti wa chama hicho dhidi ya njama ovu zinazotekelezwa na wabunge waliohamia CCM wakimtumia Mwita Waitara aliyewahi kuwa mlinzi wa Mbowe.

Katika tamko lake baraza la wazee limetaja sifa kuu 3 za Mbowe:

Mosi Mbowe ni mwenyekiti pekee wa chama cha siasa barani Afrika ambaye hapokei posho wala malipo yoyote kutoka kwenye chama chake anaitumikia Chadema kwa kujitolea.

Pili, Mbowe ndiye Mwenyekiti pekee wa chama cha siasa nchini anayeaminiwa na chama pamoja na wanachama ambao wameamchagua mara zote na amedumu katika uongozi kwa takribani miaka 25.

Tatu, Mbowe ndiye kiongozi pekee nchini aliyeingia katika uongozi akiwa tajiri na serikali kumfanyia figisu hadi anafilisika bila kuogopa wala kukata tamaa tofauti na wenyeviti wa CCM mzee Mwinyi, mzee Mkapa na mzee Kikwete ambao waliingia wakiwa maskini na kuondoka wakiwa matajiri.

Mwisho wazee hao wamemtaka Mwita Waitara kama ni mzalendo na siyo mnafiki anayejipendekeza, aanze kuhoji ufisadi unaofanywa na viongozi wa CCM.

Source: Ayo TV

Maendeleo hayana vyama
Kwa maelezo ta wazee ni sawa kabisa na hauwezi kupingana na matamko yao kwani wanaamini hivyo ila nawaza kwa sauti kulingana na hayo matamko yao. MOSI Wazee wanasema mwenyekiti Chadema halipwi msahahara au posho tika kwa Chama iwapo hili ni kweli anawezaje kufanya kazi za kiutendaji bila kutumia gharama za chama, mfano akiwa ziarani kichama malazi na usafiri zinalipwa na nani? PILI Wazee wanasema mwenyekiti wao ana aminika ndo maana yuko madarakani miaka 25 ni sawa lkn hii ni Taasisi ambayo mtu mmoja anauwezo wa kuidhibiti hasa kikatiba kama hamna ukomo wa kuzuia hili, hivyo kwa kusema wanamwamini ni eao kama wazee na si jamii yote ya wana Chadema. TATU Kulingana na nafasi ya wenyeviti wetu ww vyama Tukianza na wa chama tawala wao wenyeviti wao wamepata nafasi ya kua Maraisi wa inchi hii hivyo wana nafasi sana ya kupata ulaji hivyo wakitoka kua maraisi lazima watoke na mafungu mazuri sasa ukija kwa mwenyekiti Mbowe yeye ni wa chama tu hivyo lazima akwame sehemu na ndo hapa watu wanahoji kulingana na alipo inakuaje ana ukwasi wankutosha anatoa wapi zote hizo. MWISHO Kuhusu Mwita Waitara ana maisha yake ya kuangalia hivyo wafuate sheria kumuwajibisha tifauti na hivyo hiki ni kipindi cha kampeni ana angalia ugali wake kwanza.
 
Umeeleweka bwashee!
 
😂😂 hii ndio Tz
Baraza la wazee wa Chadema limetoa tamko lake la kumtetea Mwenyekiti wa chama hicho dhidi ya njama ovu zinazotekelezwa na wabunge waliohamia CCM wakimtumia Mwita Waitara aliyewahi kuwa mlinzi wa Mbowe.

Katika tamko lake baraza la wazee limetaja sifa kuu 3 za Mbowe:

Mosi Mbowe ni mwenyekiti pekee wa chama cha siasa barani Afrika ambaye hapokei posho wala malipo yoyote kutoka kwenye chama chake anaitumikia Chadema kwa kujitolea.

Pili, Mbowe ndiye Mwenyekiti pekee wa chama cha siasa nchini anayeaminiwa na chama pamoja na wanachama ambao wameamchagua mara zote na amedumu katika uongozi kwa takribani miaka 25.

Tatu, Mbowe ndiye kiongozi pekee nchini aliyeingia katika uongozi akiwa tajiri na serikali kumfanyia figisu hadi anafilisika bila kuogopa wala kukata tamaa tofauti na wenyeviti wa CCM mzee Mwinyi, mzee Mkapa na mzee Kikwete ambao waliingia wakiwa maskini na kuondoka wakiwa matajiri.

Mwisho wazee hao wamemtaka Mwita Waitara kama ni mzalendo na siyo mnafiki anayejipendekeza, aanze kuhoji ufisadi unaofanywa na viongozi wa CCM.

Source: Ayo TV

Maendeleo hayana vyama
 
Yaaani hiyo sababu ya kutolipwa posho ndo anatakiwa achunguzwe zaidi maana ina motive behind. Anakwapua nyingi zaidi. Toka lini hela zijae?

Kuna boss mmoja wa TIC nae alikuwa halipwi mshahara so ni kawaida tu
 
Wazee nao bana bt Cha kushangaza wanaomsakama wala sio wanachadema..
 
Back
Top Bottom