Tamko la wazee Chadema: Mbowe ndiye kiongozi pekee barani Afrika asiyelipwa posho wala malipo yoyote na chama chake, anajitolea!

Mbowe arudishe bilion nane. Aache kuwatumia wazee kuhalalisha ufisadi wake
Kapeleke ushahidi mahakamani usiseme na kulalamika kama kahaba uliyekuwa hujalipwa malipo yako baada yakupigwa mzigo.
 
Sasa atalipwaje na wakati hela zote za chama ni zake
 
Hapo hakuna mzee, watakuwa wamepata mvi tu.
 
Naungana na wazee wa CDM kwamba Mh. Mbowe ni Jabari la siasa Tanzania.... wamejaribu kumnunua iwe awe mamluki wa upinzani lalkini imeshindikana, Kumtafutia makosa ili afungwe kifungo kirefu inakuwa nguvu sababu tayari ni Public figure, Kumtafutia kosa la wizi wa pesa za Chama pia imeshindikana sababu CAG kashatoa hati swaafi kwa CDM, Kumfirisi biashara zake zinazompa ujeuri wa pesa hili wamefanya lakini wamekwama baada ya kuvunja Billicans na Kufyeka Green house yake huko mtoto weruwere (Dhambi kubwa kufyeka mazao ya chakula yaliyopadwa)

Sasa kilichobaki ni kuwanunua Wabunge wa chama chake hasa wenye njaa njaa na Madiwani wao ili wamchafue - kina mama waseme wananyanyaswa ki ngono na kina baba nao wasije wakajisahau wakasema hivyo hivyo maana maneno ya kukaririshwa saa nyingine unasahau sahau.

Mbowe ni Jabari.
 
Kwa Mbowe kila Goti litapigwa
 
Mungu alipomthibitisha Ayubu, aliwaonyesha marafiki kwamba walikosa walipodai kwamba kila shida ni matokeo ya dhambi za mtu binafsi. Pia alionyesha kwamba Elifazi alikosa alipodai kwamba watu wanamwabubu Mungu tu, kwa sababu anawapa mambo mema na fanaka. Ayubu alidumu kuwa mwaminifu kwa Mungu, ingawa alipoteza kila kitu, lakini mwisho Mungu alimbariki kwa mibaraka mikubwa kuliko aliyokuwanayo hapo awali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…