A
Anonymous
Guest
Kero yangu ni kuhusu tamko la Waziri wa Fedha kuhusu Ankara za serikali kuandaliwa kwa dollar badala ya shilingi kama alivyoagiza. Mfano Ankara za kulipia leseni za tume ya Madini za dollar 1,000 zinaandaliwa kwa mfumo wa dollar.
Ukienda benki kulipa wanadai hawalipii mpaka uwe na dollar mkononi au Ankara iwe Katika hela ya Kitanzania kama alivyoagiza Waziri wa Fedha.
Swala hili imekua ni kero kubwa kwa wafanyabiashara kwani hatujui tulipie wapi kama benki zenyewe wanakataa kulipia ukizingatia Ankara zimeandaliwa zilipwe ndani ya siku Tatu tu kabla ya ku expire. Sisi dolla tunazitoa wapi kama mtaani tu dolla hakuna?
Tunaomba kero hii imfikie Waziri wa Fedha na watoe muongozo kwa watengeneza bill za serikali zitengenezwe in Tsh kisheria Maana wanadai wanafata sheria inavyosema na sio matamko.
Naomba kuwasilisha