John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Hii ni taarifa rasmi kwa umma kutoka Klabu ya Yanga juu ya malalamiko yao kwa waamuzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii imekaaje? Jana Mdhamini wao mkuu amekuja na ngonjera zake na leo mdhaminiwa anaonewa!Hii ni taarifa rasmi kwa umma kutoka Klabu ya Yanga juu ya malalamiko yao kwa waamuzi.
View attachment 2112919
Tatizo hawajasema kuhusu mechi yao na namungo hawajasema kuhusu mechi yao na mbeya city ziliongezeka dk ngapi.Hii ni taarifa rasmi kwa umma kutoka Klabu ya Yanga juu ya malalamiko yao kwa waamuzi.
View attachment 2112919
NAWEKA USHABIKI PEMBENI ILA KIUKWELI SIO KWA YANGA TU, HAWA WAAMUZI WETU WA MCHONGO WAJITAFAKARI. Baadhi ya maamuzi yao yamekuwa yakitia dosari soka letu la Tanzania hasa katika mechi kubwa zenye tension/attention ya hali ya juu..
Kuvurunda kwao kunaichafua brand ya LIGI KUU TANZANIA BARA na huko kimataifa tunaonekana si lolote, ndio maana hata kwenye mashindano makubwa mfano AFCON, CHAN, CAF CL, CAF CC Waamuzi wetu hawachukuliwi kutokana na uvurundaji wao katika kutafsiri sheria 17 za soka na kutoa maamuzi yenye utata.
TFF, Bodi ya Ligi pamoja na kamati za marefarii waweke mpango mkakati maalumu wa kurejesha ''heshima ya waamuzi'' katika soka letu na waamuzi wetu wasionekane ni wa mchongo (kupendelea timu fulani tu). Hii itasaidia kuondoa malalamiko haya kutoka vilabu mbalimbali na pia itasaidia kuboresha soka letu la Bongo.
Pia siasa na figisu figisu za ajabu ziepukwe na uwajibikaji uwepo kutimiza lengo mama la maendeleo ya soka hapa nchini
OUT OF TOPICMmeanza kujinyea nyea na mko kileleni?
Hapo marefa kutokuchaguliwa kuchezesha mechi kubwa za CAF umetudanganya pakubwa sana labda kama FRANK KOMBA aliyeenda kuchezesha AFCON ni wa BurundiNAWEKA USHABIKI PEMBENI ILA KIUKWELI SIO KWA YANGA TU, HAWA WAAMUZI WETU WA MCHONGO WAJITAFAKARI. Baadhi ya maamuzi yao yamekuwa yakitia dosari soka letu la Tanzania hasa katika mechi kubwa zenye tension/attention ya hali ya juu..
Kuvurunda kwao kunaichafua brand ya LIGI KUU TANZANIA BARA na huko kimataifa tunaonekana si lolote, ndio maana hata kwenye mashindano makubwa mfano AFCON, CHAN, CAF CL, CAF CC Waamuzi wetu hawachukuliwi kutokana na uvurundaji wao katika kutafsiri sheria 17 za soka na kutoa maamuzi yenye utata.
TFF, Bodi ya Ligi pamoja na kamati za marefarii waweke mpango mkakati maalumu wa kurejesha ''heshima ya waamuzi'' katika soka letu na waamuzi wetu wasionekane ni wa mchongo (kupendelea timu fulani tu). Hii itasaidia kuondoa malalamiko haya kutoka vilabu mbalimbali na pia itasaidia kuboresha soka letu la Bongo.
Pia siasa na figisu figisu za ajabu ziepukwe na uwajibikaji uwepo kutimiza lengo mama la maendeleo ya soka hapa nchini
SIKATAI,TOFAUTI NA HUYO UNA KUMBUKUMBU INGINE?Hapo marefa kutokuchaguliwa kuchezesha mechi kubwa za CAF umetudanganya pakubwa sana labda kama FRANK KOMBA aliyeenda kuchezesha AFCON ni wa Burundi
Wao wamependelewa moja tu wakati wenzao kila mechi.Paragraph ya mwisho nimecheka
Kwamba kuna possibility za GSM kujitoa udhamini kwasababu ya makosa ya waamuzi kwenye mechi?
Halafu hayo malalamiko hawajayaweka specific kwamba wanamlalamikia nani wakuchukua hatua kudhibiti hilo tatizo
Ni kwamba waliogopa kuitaja TFF kwasababu bado wanamaumivu ambayo wana amini yalisababishwa na TFF
Halafu sijajua kama wanaji snitch au namna gani, maana matukio ya waamuzi kuibeba timu yalianzia kwao na record tunazo
Sasa kwanini lawama hizi zimekuja kwa kuchelewa? Kwanini siku ambayo wanapewa penati ya ufuska kwenye mechi ya namungo kesho yake hawakuweka malalamiko kukemea?
Hiyo hiyo moja inatosha sana kukutia hatianiWao wamependelewa moja tu wakati wenzao kila mechi.
Kosa moja haliachi mke unaweza kulichukulia ni mtelezo lakini ikiwa kila siku hiyo tena ni makusudi
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Bodi ya ligi ishafikisha hilo swala kwa wanasheria wakw kwa hiyo tusiwe na hofuWamekuja kuzima issue ya GSM kutangaziwa biashara yake bure kwa miezi mitatu.
GSM acha ujanja ujanja toa hela. Ulitaka kushindana na MO naona upepo umekata.