Tamko rasmi la Yanga kuhusu kutotendewa haki na waamuzi katika Ligi Kuu Bara

Tamko rasmi la Yanga kuhusu kutotendewa haki na waamuzi katika Ligi Kuu Bara

Mbona Yanga wakibebwa Simba awalalamiki!?,kuna mechi alishika Mayele lakini akasingiziwa beki wa Namungo.

Kuna mechi pia ilichezwa Luhangwa Fesal kajiangusha dakika za majeruhi Uto wakapewa penati ya mchongo.

Simba kuna zaidi ya magoli matatu yalikataliwa kua ni offside wakati ni magoli halali,lakini wala Simba wa watu hawajaitisha press ya malalamiko kama wanavyofanya Uto!
 
Hiyo hiyo moja inatosha sana kukutia hatiani

Kama kosa moja haliachi mke, basi kwa simba ni ndoa ya kikristo mke haachwi mpaka kifo kitenganishe

Makosa yaliyofanywa na marefa kwenye mechi za simba haijalishi ni mengi kiasi gani lakini bado hayawezi ku justify kama pigo kwa club au adhabu kwa hao marefa
Kama kosa moja haliachi mke, basi kwa simba ni ndoa ya kikristo mke haachwi mpaka kifo kitenganishe

Inatakiwa iwe ndoa ya bomani, kwani Simba kuna wa dini moja tu?
 
Back
Top Bottom