Tamko rasmi la Yanga kuhusu kutotendewa haki na waamuzi katika Ligi Kuu Bara

Mbona Yanga wakibebwa Simba awalalamiki!?,kuna mechi alishika Mayele lakini akasingiziwa beki wa Namungo.

Kuna mechi pia ilichezwa Luhangwa Fesal kajiangusha dakika za majeruhi Uto wakapewa penati ya mchongo.

Simba kuna zaidi ya magoli matatu yalikataliwa kua ni offside wakati ni magoli halali,lakini wala Simba wa watu hawajaitisha press ya malalamiko kama wanavyofanya Uto!
 
Kama kosa moja haliachi mke, basi kwa simba ni ndoa ya kikristo mke haachwi mpaka kifo kitenganishe

Inatakiwa iwe ndoa ya bomani, kwani Simba kuna wa dini moja tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…