Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
- Thread starter
-
- #161
Tengua kauli, hakuna mke mwenzangu ni wadandia bia tuMie bwana angu m-bebe tu....kweupeeeee nakuachia na hivo ana ka-kitunguu saumu, utanirudishia mwenyewe maana najua atakupakapaka tu nanilii.
Hahahah.....hebu mieeeee.
Bia hizi jamani....tuseme na kiu zetu....tutakuja kutiwa chupa za makalio bure.
Hebu mieeeeeeee......niende pm kwa mpenzi wangu maana kaniahidi kuninunulia Celica
.....Ole umfate Pm....nakutaja.
Maana naona umeshindwa kumtaja mke mwenzio
Hahahah.....charteeeeeeeeeeeee ya mbilimbi.
Mjini ndo nshafika, kijijini sirudi ng'ooooooooo!!!!!!!
afu ujue mi msataarabu sana na ustaarabu wangu ni wa kiwango cha juu
huyu mtu ni mke wa mtu make naona jamaa yake yuko bize na kumuanzishia thread kila siku za kumshukuru kwa upendo
sasa sijui kinachomwangaisha ni nini kugawa gawa namba kisa bia ya 2500
naona mme kalegeza Kamba kwenye kipengele cha kumnywesha