BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Sijabembelezwa
Heheheh pole yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijabembelezwa
Heheheh pole yako
Naomba namba nkuelekeze uje kunibembeleza
Akhaaa sitaki...
Unaona ulivyo na roho ya uchoyo!! Unastahili maombi
Maombi tena???? Ya kufunga na kuomba nini? Teh teh
Hata grocery tu sina, ehuuuuu itabidi ninunue ngano atakaetaka bia nampa ngano akajitengenezee
Nanunua na zabibu kwa wale wa wyne
Teh eeeh......Baby yamefikia hapa?
Kwangu beer,soda visheti ..vyote ruksa karibuni
hakuna FFU...feni huna?
Teh eeeh......
Kichwa cha habari chajieleza......
kuhongwa rep power sio tiketi ya kuombea na bia, kama mna kiu na bia mtafute hela zenu, muombe kwa wazazi au wame zenu. Mambo ya kuomba hela ya bia kwa shemeji yenu sitaki tena mkome alaaah mie mwenyewe hizo bia nna kiu nazo msijitie kuhoji kwanini sijaongea nae jibu ni kwasababu nimeona mafuriko ya kuomba omba yamezidi nimeamua kusema kama vipi namie mnipe namba na wanaume zenu wanipe hizo hela za bia kubafu
sitaki mazoea kwa baby wangu sitaki sitaki....mfowadiane pm kwa anaehitaji kumjua
nb: tamko halina mjadala
Mwaweza kuhusika kwa namna moja au nyingine
kama wako nae kaomba bia itabidi namie unipe bia
fifty fifty
Kepten Komba angekujua mapema.... wallah kina Khadija Kopa wangekuwa Mwananyamala mida hii wakiuza vitumbua kitaani.
Yani walimwengu ukiwapa mtoto hawakutunziiYaani mfano wake ni kama kununua cheni ya bandia kwa pesa bandia!!!!
Safi sanaa shost, nimependa tamko lako, na ukizingatia mume ni bidhaa adimu kwa sasa.
Kepten Komba angekujua mapema.... wallah kina Khadija Kopa wangekuwa Mwananyamala mida hii wakiuza vitumbua kitaani.
Uninunulie na bia hayo ndo mapenzi kunogaMhwaa! Penda sana wewe, My sweet sweet Candy!