Tamko: Sitaki shobo

Tamko: Sitaki shobo

Aiseeeeeeh.... Muwe na Jumapili Njema, Mkono wa Mungu uwe juu yenu.
 
Kwangu beer,soda visheti ..vyote ruksa karibuni
hakuna FFU...feni huna?

Ha ha ha uhhh FFU nini?!lol
fujo zikizidi lazma FFU wawepo, ni vile wamefunga tu pm nawapm siwapati
ningekudairectia wewe uwanyweshe make hapa hata uhai ya 300 hawapati
 
Kichwa cha habari chajieleza......
kuhongwa rep power sio tiketi ya kuombea na bia, kama mna kiu na bia mtafute hela zenu, muombe kwa wazazi au wame zenu. Mambo ya kuomba hela ya bia kwa shemeji yenu sitaki tena mkome alaaah mie mwenyewe hizo bia nna kiu nazo msijitie kuhoji kwanini sijaongea nae jibu ni kwasababu nimeona mafuriko ya kuomba omba yamezidi nimeamua kusema kama vipi namie mnipe namba na wanaume zenu wanipe hizo hela za bia kubafu
sitaki mazoea kwa baby wangu sitaki sitaki....mfowadiane pm kwa anaehitaji kumjua

nb: tamko halina mjadala

Kepten Komba angekujua mapema.... wallah kina Khadija Kopa wangekuwa Mwananyamala mida hii wakiuza vitumbua kitaani.
 
Mwaweza kuhusika kwa namna moja au nyingine
kama wako nae kaomba bia itabidi namie unipe bia
fifty fifty

Yaani mfano wake ni kama kununua cheni ya bandia kwa pesa bandia!!!!
Safi sanaa shost, nimependa tamko lako, na ukizingatia mume ni bidhaa adimu kwa sasa.
 
Kepten Komba angekujua mapema.... wallah kina Khadija Kopa wangekuwa Mwananyamala mida hii wakiuza vitumbua kitaani.

Hahaha! Dah! Mbavu zangu! Watu mnacreativity ya hatari, magazeti ya udaku ya Shigongo yanaigiza. Watu mna kauli za kidaku mpaka inatisha!
Mtu amefunguka yanayomsibu, nyinyi mmegeuza mada kuwa kituko.
 
Yaani mfano wake ni kama kununua cheni ya bandia kwa pesa bandia!!!!
Safi sanaa shost, nimependa tamko lako, na ukizingatia mume ni bidhaa adimu kwa sasa.
Yani walimwengu ukiwapa mtoto hawakutunzii
ila sahau tu mme chini ya mti watamtunza hadi kwenye bebi walker wanamuweka
ndo maana nataka nionane na mtaalamu mshana jr
 
Last edited by a moderator:
Kepten Komba angekujua mapema.... wallah kina Khadija Kopa wangekuwa Mwananyamala mida hii wakiuza vitumbua kitaani.

mithali 31:6-7 mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea, kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini.
anywe akasahau umasikini wake asiikumbuke tena taabu yake

Muwape mabebs wenu bia
ubarikiwe mtumshi
 
Back
Top Bottom