TAMKO: ZUBEDAYO_MCHUZI YUPO NA Arabela Mpaka PUMZI YA MWISHO.......

nitonye...umejiandaa andaaje na kupokonya mke wa mwenzio? huogop kupoteza baadh ya viungo vya mwili
 
Last edited by a moderator:
nitonye...umejiandaa andaaje na kupokonya mke wa mwenzio? huogop kupoteza baadh ya viungo vya mwili

mimi niko gado hana ubavu wa kupambana na mimi kwanza keshakimbia yuko wapi sasa?
 
Last edited by a moderator:
jaman ananipend umeona alivyokuja mbio

Amekuja mbio kwa sababu ameona anae kupenda kwa dhati amejitokeza. Alwayz nitakulinda popote utakapokuwa, nitakuwa pembeni yako sitaweza kukutelekeza kama alivyofanya zubedayo ku mchuzi
 

mi ni secretary wake
kwa sasa yupo anafanya
mazoezi ya kukimbia dar -chalinze
inabidi nishike nafasi kwa muda!!atarudi soon!!

anakutapeli huyo mkata vitunguu, yuko wapi sasa au tenda za mama ntilie za kuwakatia vitunguu zimembana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…