zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
- Thread starter
-
- #61
mradi usiue mtu
maana wamejungua huku
acha kabisa!!
Woow my hubby umerudi. Usinipotee tena jaman ntakufa bure.
Akileta mbwelambwela atalamba za uso
Mfupa fisi ameushindwa nyie mtauweza...mkipanga..mtapangua..wenyewe...Nakuonya tena Acha kumsumbua Arabela,malovee yako peleka kimboka.
Teh teh teh.... Eti apeleke Kimboka? Duh..
sawa boss baunsa!!Hakuna kumbi kumbi wa kuniteka huku,nitonye bado sana...akawaulize kwa mtogole.keko,manzese na tandika nimeacha gazeti gani..
Majungu hayana ncha pl,hao watoto sana....