Tamthilia ya Othman ya Azam TV, lengo lenu ni kuudhalilisha Ukristo. Itoeni mara moja

Tamthilia ya Othman ya Azam TV, lengo lenu ni kuudhalilisha Ukristo. Itoeni mara moja

Wavaa kobazi wakikusikia utasikia
Huwa sielewi kwa Nini Kuna series zinazoonyesha ukatili na mauaji kiasi hiki.

Hii ni mbegu.... Na jamii itavuna kwa mbegu hii mbaya.

Kila siku tunaimba tamaduni etc. Hizi ndio tamaduni zetu kweli?

Kuna lipi la kujifunza hasa kwa Hawa watoto/vijana wanaofuatilia tamthilia za aina hii kwa mfano huu ilioutoa.

Sijui tunakwenda wapi.

HAKIKA 😩😭
 
Series ya waturuki..wewe mmatumbi unakuja kunitukana Mimi Mtanzania mwenzako Kwa hasira. wewe ni msemaji wa Roman empire?

Jiangalie .. .kama hata Balozi za Italy na Vatican zimekaa kimyaa wewe kutoka huko Tandahimba hasira za nini?
 
Angalia movie zote za waarabu na wamarekani...
Kaka una hakika na hili usemalo? Kwa ninavofahamu majambazi/magaidi huwa waislam sababu hizo movies either zipo based on true stories au zimebuniwa kutoka kwenye visa vinavofanana na mazingira

Sio Movies zote za Marekani jambazi muislamu, comments kama hizi hazifai
 
Tatizo Wakristo nyie wapole, na mtaendelea kudhalilishwa mpaka mkome, mbona waislam hawaingiliwi na huu upuuzi hata, wanawaona nyie ndo wa kudhalilishwa.

Anyways, kama inaonesha hvyo usemavyo ni inaingiza chuki na udini kwenye taifa letu.
 
Ni vile tu hatujitambui,
hivi hao azam sisi si ndo tunaowalisha?
Tungekuwa tunajitambua tungesusa huduma zao zote au kutafuta altenative investor. Huu ni uchokozi kabisa.
 
Suluhisho ni moja tu, usiangalie hiyo tamthilia kama inakukera.

Utasikia mtu anasema tususie bidhaa za Azam, kipindi hicho anaandika huku akishushia na energy drink ya Azam.

Chapati anayokula imepikwa kwa unga wa Azam halafu Yanga ikicheza anaenda kuangalia mpira kupitia king'amuzi cha Azam.
 
Back
Top Bottom