bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Usihangaike bure huyu hajui hata Ottoman empire ni kitu gani.Umeishafanikiwa kusoma "Rise and fall of Ottoman Empire" " pia ni topic A level..hivyo ndivyo ilivyokuwa acha makasiriko mkuu.
Hiyo ni sehemu ya historia iliyotokea miaka mia kadhaa nyuma lakini anakuja kulalamika leo.
Ni sawa na waislamu walalamike eti filam 'the rise and fall of the roman empire' inasaidia kueneza ukristo kwa hivyo iondolewe kwenye tv.