Tamthilia ya Othman ya Azam TV, lengo lenu ni kuudhalilisha Ukristo. Itoeni mara moja

Tamthilia ya Othman ya Azam TV, lengo lenu ni kuudhalilisha Ukristo. Itoeni mara moja

Tamthilia ya Othman ni tamthilia ya Uturuki ambayo hapa nyumbani inaoneshwa na Azam Media...
Hivi Waitaliano nao wakitengeneza movie ya dini unategemea kuwa dini yao itapigwa?
 
Tamthilia ya Othman ni tamthilia ya Uturuki ambayo hapa nyumbani inaoneshwa na Azam Media.
Maudhui ya tamathilia hiyo kuwa Dini ya othman ( Uislamu) ni dini bora kuliko dini ya Wakristo (waroma).

Kwenye filamu hiyo utaona kuna mapigano baina ya Waislamu ( othman) na wakiristo (waroma)! Mapigano ni kwa ajili ya kusimika dini ya Uislamu na kila pambano wanashinda Waislamu dhidi ya Wakristo, na wakishinda utasikia Mungu mkubwa, Mungu mkubwa, allah mkubwa.
sioni sababu kunununua king'amuzi cha azam.

Azam ni king'amuzi flani cha tabaka la wadini na watu wa maisha ya chini..
 
Hamna unachokijua maskini ya Mungu ! Hiyo ni historia sio imetungwa ni kama hadithi fulani ivi.


Je mbona hizi za kutunga kama black hawk down ,huoni kama zinaleta chuki
Wewe ndio hulewi. Hatukatai ni historia na ilitokea kweli. Kama zilivyo tamthilia nyingine nyingi tu zenye kuelezea historia based on true stories kama 300 sparta nk.

Hoja ni why azam ambao wamekuwa wakilalamikiwa kuhusu udini kwenye ajira bado maudhui ya vipondi vyao vingi vinaelement za udini? Kwenye makorido ya azam usiposamilia :salamaleko" itakugharim.

Kuna tamthilia maelfu za kituruki zipo neutral kama ezel nani uliona anailalamikia. Aanzishe chanel ya kidini ndio awe free kuweka mambo ya kidini huko hataulizwa
 
Mkristo: Anaamini kuwa Mungu anaweza kujipogania mwenyewe. Ukristu unaaminisha hata ukifa kwa ajili ya kristo na bado una
Ni kweli, Mungu wa Wakristo anajipigania mwenyewe hahitaji wasaidizi.

Angalia Brazil walivyomkufuru Yesu mwaka huu kilichowapata baada ya Carnival festival.
 
Tamthilia ya Othman ni tamthilia ya Uturuki ambayo hapa nyumbani inaoneshwa na Azam Media...
Hayo ni matukioyaliyotokea kweli.

Sema wasiishie hapo waoneshe na jinsi Ottoman ilivyoanguka Hadi vita kuu ya kwanza ya Dunia ikaisambaratish kabisa hadi anapotokea Mustapha Kemali (Aturtuki) mkombozi wa Jiji la Constantinople (Istanbul) ya Leo.
 
Another thread ...again
Ottoman series ni series iliyo based na history ya kweli ya Ottoman empire..
Wakishaitoa hiyo series ungependa kingine kipi wafanye...tuagize na Google wafute history yoote ya Ottoman empire?..
Kwa hiyo Azam wakaona hiyo ndio tamthilia bora ya kuweka
 
Mtu anaependa kuendekeza udini na kulalamikia imani ya mwenzake mara waislam hivi mara wakristu hivi mara wakatolikk hivi n.k huyo ni mgonjwa wa akili.

Unaweza pia kumuita mwendawazimu/chizi.
 
Hii msg itume Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ili wapate sehemu ya kuanzia.

Kwa kanuni zetu, wanakosea.
 
Back
Top Bottom