adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Naona ungemuuliza kwanza jiwe angavu kuwa anaakiili timamu ?Kwamba uislamu unaenezwa kwa tamthilia, mkuu una uhakika wewe ni mtanzania?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona ungemuuliza kwanza jiwe angavu kuwa anaakiili timamu ?Kwamba uislamu unaenezwa kwa tamthilia, mkuu una uhakika wewe ni mtanzania?.
Mbona unajiaibisha live bila chenga na kusababisha watu wahoji kiwango cha elimu yako ?Ni wazi lengo lao ni kuudunisha Ukristo lakini hawataweza,kwanza mimi pamoja na kuwa sio mfuatiliaji wa historia ila sijawahi sikia himaya ya ottoman ila himaya ya rumi ni maarufu na ilitikisa dunia nzima, lakini tofauti na propaganda zinazofanywa na azam tv kutuaminisha ottoman na uislam ni bora kuliko wengine.
Mbona zikioneshwa filam za waislam magaidi wanauwa husikii muislam kulalamika?...why not kuonesha Rise of Ottoman Empire....?..wakati lilikuwa tukio la kweli??..Kwa hiyo Azam wakaona hiyo ndio tamthilia bora ya kuweka
Unawapangia tamthia za kuweka ?Kwa hiyo Azam wakaona hiyo ndio tamthilia bora ya kuweka
Wa China wametoa muvi 2010 kuhusu utawala wa kiJapan China huku Wajapan wakiuwawa na kudhalilika , Je vipi na hao wametoa kutokana na wakati ? wapi umesikia Wajapan wakilalamika na kulialia kama wapuuzi wa humu Jf ?Mwongo wewe. Hollywood wanayengeneza muvi kutokana na nyakati. Nyakati za cold war walitengeneza muvi za kishushu against russia na always mashushu wa kimarekani waliibuka washindi.
Nyakati za vita za vietnam walitengeneza muvi za kikomandoo. Yaani anold sgozniga au rambo mmoja anawatembezea mkong'oto jeshi zima la wavietnam.
Nyakati za ugaidi wanatengeneza muvi za kudhibiti ugaidi. Ndio mana unaona muvi nyingi special team za makomandoo wa marekani wanatembezea mkong'oto wavaa kobazi huku huko mapangoni.
Sasa hivi kuna sci -fi movies. Hapa mmarekani anaitambia dunia ameendeleea kiteknolojia ya halo ya juu. Hapa ni kumdemoralize mchina zaidi.
Ukiwa na akili timamu utajua azam kuna udini sana hili liko wazi. Tv za mzee mengi and the likes huwezi kukuta ujinga kama wa azam.
Ni kweliMambo mengine ni ya kupuuzia tu.
YESU AKBAR YESUUU AKBAAAAARRRRRMbona unajiaibisha live bila chenga na kusababisha watu wahoji kiwango cha elimu yako ?
Wenyewe huwa wanafurahia. Kwao mambo ya ugaidi ugaidi umwagaji damu ni fahari kwaoMbona zikioneshwa filam za waislam magaidi wanauwa husikii muislam kulalamika?...why not kuonesha Rise of Ottoman Empire....?..wakati lilikuwa tukio la kweli??..
Jinsi usivyo na akili ndio maana mods wamepita na uzi wako wenye malengo wa malumbano ya kidini leo muda huu ,sijui kwa nini mmekuwa na malalamiko ya kipuuzi sana na kuchochea mijadala hii hapa Jf.YESU AKBAR YESUUU AKBAAAAARRRRR
YESU NI MUNGU penda msipende
Sure. Binafsi niliacha kuiangalia Ottoman sababu sikua napenda zile fighting scene sio kali kama za baadhi ya series. Japo huwa naiangalia mara mojamoja napokua na muda kufurahisha macho.movie za kwenye vingamuzi nyingi naona za kidemu mara sijui kurfi, mara sijui series gani stories za kiboya hazina reality kuna siku nilienda ugenini nikauta zimewekwa yaani hata wanavyopigana unashangaa ,,,,,any way kila mtu na anachokipenda ukitaka kuona uanaume angalia kitu kimoja kinaitwa vikings
YESU AKBAR YESUUU AKBAAAAARRRRRJinsi usivyo na akili ndio maana mods wamepita na uzi wako wenye malengo wa malumbano ya kidini leo muda huu ,sijui kwa nini mmekuwa na malalamiko ya kipuuzi sana na kuchochea mijadala hii hapa Jf.
Nitaandaa uzi wa kushamiri uongozi wa Jf uwaandalie jukwaa lenu maalumu la malalamiko maana na Ramadhan inakuja hivyo natarajia kwa siku kukuta nyuzi zaidi ya 5 zenye malalamiko na kashfa na kudhihaki Uislamu.
View attachment 2533806
Uzi huu huu unahusu hayo ? siwezi kufuata njia ya mjinga kamwe na kujiingiza kwenye malumbano yasiyo na msingi.Dah wenyewe wanakuambia Mungu ni mmoja hakuna mwengine wakusujudiwa na kuabudiwa.
View attachment 2533798
Angalia video hapo chini sijui hapo wanamnusa NINI?
NAJIVUNIA MIMI SIYO MUISLAMU SIJAWAHI KUWA NA SITAWAHI.
Ndio huyu aliyovunjwa mguu na mlevi au mwengine ? 😂😂 😂 😆YESU AKBAR YESUUU AKBAAAAARRRRR
JESUS IS GOD WHETHER YOU LIKE IT OR NOT
Azam aonyeshe waislam magaidi wanauawa labda huyo sio AzamMbona zikioneshwa filam za waislam magaidi wanauwa husikii muislam kulalamika?...why not kuonesha Rise of Ottoman Empire....?..wakati lilikuwa tukio la kweli??..
I'la wachina wanavyouana kwa mapanga humkatazi kwasababu si waislam? Una shida sehemu boss. Huna logicWavaa kobazi wakikusikia utasikia ...
"Hama kwani nani kakulazimisha kununua Azam"...
Mimi baada ya kumuona mwanangu anajifunza kushika mapanga na kujisifia anakula vichwa kama osman anashushia na lugha za kiarabu ata sizielewi...siku hizi silipi kifurushi....
Maana leo osman anakula vichwa vya waroma kesho huyu mtoto atatafuta wa kujaribishia..[emoji26][emoji26][emoji26]
Uturuki sio Waarabu, labda ungeandika kueneza utamaduni wao ungeeleweka.Hizo tamthilia zimewekwa kwa lengo maalumu,kueneza utamaduni wa waarabu na uislamu,