Tamthilia ya Othman ya Azam TV, lengo lenu ni kuudhalilisha Ukristo. Itoeni mara moja

Tamthilia ya Othman ya Azam TV, lengo lenu ni kuudhalilisha Ukristo. Itoeni mara moja

Ni wazi lengo lao ni kuudunisha Ukristo lakini hawataweza,kwanza mimi pamoja na kuwa sio mfuatiliaji wa historia ila sijawahi sikia himaya ya ottoman ila himaya ya rumi ni maarufu na ilitikisa dunia nzima, lakini tofauti na propaganda zinazofanywa na azam tv kutuaminisha ottoman na uislam ni bora kuliko wengine.
Mbona unajiaibisha live bila chenga na kusababisha watu wahoji kiwango cha elimu yako ?
 
Kwa hiyo Azam wakaona hiyo ndio tamthilia bora ya kuweka
Mbona zikioneshwa filam za waislam magaidi wanauwa husikii muislam kulalamika?...why not kuonesha Rise of Ottoman Empire....?..wakati lilikuwa tukio la kweli??..
 
Kuna propaganda za kuoneza chuki na udini kupitia mitandao ya kijamii,ni kikundi Cha watu wa chache tena wamejipanga. Hizi mada za kuuchukia uislam Kuna watu zinawatia ghadhabu hivo kuuchukia kweli Tena watu hasa hasa walio wa target ni watu wa serikali.
 
Mwongo wewe. Hollywood wanayengeneza muvi kutokana na nyakati. Nyakati za cold war walitengeneza muvi za kishushu against russia na always mashushu wa kimarekani waliibuka washindi.

Nyakati za vita za vietnam walitengeneza muvi za kikomandoo. Yaani anold sgozniga au rambo mmoja anawatembezea mkong'oto jeshi zima la wavietnam.

Nyakati za ugaidi wanatengeneza muvi za kudhibiti ugaidi. Ndio mana unaona muvi nyingi special team za makomandoo wa marekani wanatembezea mkong'oto wavaa kobazi huku huko mapangoni.

Sasa hivi kuna sci -fi movies. Hapa mmarekani anaitambia dunia ameendeleea kiteknolojia ya halo ya juu. Hapa ni kumdemoralize mchina zaidi.

Ukiwa na akili timamu utajua azam kuna udini sana hili liko wazi. Tv za mzee mengi and the likes huwezi kukuta ujinga kama wa azam.
Wa China wametoa muvi 2010 kuhusu utawala wa kiJapan China huku Wajapan wakiuwawa na kudhalilika , Je vipi na hao wametoa kutokana na wakati ? wapi umesikia Wajapan wakilalamika na kulialia kama wapuuzi wa humu Jf ?
 
Mbona zikioneshwa filam za waislam magaidi wanauwa husikii muislam kulalamika?...why not kuonesha Rise of Ottoman Empire....?..wakati lilikuwa tukio la kweli??..
Wenyewe huwa wanafurahia. Kwao mambo ya ugaidi ugaidi umwagaji damu ni fahari kwao
 
YESU AKBAR YESUUU AKBAAAAARRRRR

YESU NI MUNGU penda msipende
Jinsi usivyo na akili ndio maana mods wamepita na uzi wako wenye malengo wa malumbano ya kidini leo muda huu ,sijui kwa nini mmekuwa na malalamiko ya kipuuzi sana na kuchochea mijadala hii hapa Jf.

Nitaandaa uzi wa kushamiri uongozi wa Jf uwaandalie jukwaa lenu maalumu la malalamiko maana na Ramadhan inakuja hivyo natarajia kwa siku kukuta nyuzi zaidi ya 5 zenye malalamiko na kashfa na kudhihaki Uislamu.

Screenshot_20230301_143806.jpg
 
movie za kwenye vingamuzi nyingi naona za kidemu mara sijui kurfi, mara sijui series gani stories za kiboya hazina reality kuna siku nilienda ugenini nikauta zimewekwa yaani hata wanavyopigana unashangaa ,,,,,any way kila mtu na anachokipenda ukitaka kuona uanaume angalia kitu kimoja kinaitwa vikings
Sure. Binafsi niliacha kuiangalia Ottoman sababu sikua napenda zile fighting scene sio kali kama za baadhi ya series. Japo huwa naiangalia mara mojamoja napokua na muda kufurahisha macho.
 
Jinsi usivyo na akili ndio maana mods wamepita na uzi wako wenye malengo wa malumbano ya kidini leo muda huu ,sijui kwa nini mmekuwa na malalamiko ya kipuuzi sana na kuchochea mijadala hii hapa Jf.

Nitaandaa uzi wa kushamiri uongozi wa Jf uwaandalie jukwaa lenu maalumu la malalamiko maana na Ramadhan inakuja hivyo natarajia kwa siku kukuta nyuzi zaidi ya 5 zenye malalamiko na kashfa na kudhihaki Uislamu.

View attachment 2533806
YESU AKBAR YESUUU AKBAAAAARRRRR

JESUS IS GOD WHETHER YOU LIKE IT OR NOT
 
Dah wenyewe wanakuambia Mungu ni mmoja hakuna mwengine wakusujudiwa na kuabudiwa.
View attachment 2533798

Angalia video hapo chini sijui hapo wanamnusa NINI?

NAJIVUNIA MIMI SIYO MUISLAMU SIJAWAHI KUWA NA SITAWAHI.
Uzi huu huu unahusu hayo ? siwezi kufuata njia ya mjinga kamwe na kujiingiza kwenye malumbano yasiyo na msingi.
 
Mbona zikioneshwa filam za waislam magaidi wanauwa husikii muislam kulalamika?...why not kuonesha Rise of Ottoman Empire....?..wakati lilikuwa tukio la kweli??..
Azam aonyeshe waislam magaidi wanauawa labda huyo sio Azam
 
Sijui nite wabongo! Au niite waafrika?
Hivi tuna shida gani vichwani mwetu? Hiyo filamu hujaipenda achana nayo! Othman Ni filam inayoonesha mapambano ya namna ya kusimikwa Dola la Ottoman kulivyoanza na kutokea kupitia Uislam.
Yes waturuki walipigana kwelikweli dhidi ya wasio waislam sio tu wakristo kusimika ukuu wa Dola la Ottoman.
Nb.
Allah akbaru humaanisha "Mungu Ni Mkubwa" Wala usitishike na Hilo but pia Azam huonesha filamu kibao za kifilipino,kichina na kimarekani ambazo kutokana na maudhui yake si kila mtu hupenda.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Wavaa kobazi wakikusikia utasikia ...

"Hama kwani nani kakulazimisha kununua Azam"...

Mimi baada ya kumuona mwanangu anajifunza kushika mapanga na kujisifia anakula vichwa kama osman anashushia na lugha za kiarabu ata sizielewi...siku hizi silipi kifurushi....

Maana leo osman anakula vichwa vya waroma kesho huyu mtoto atatafuta wa kujaribishia..[emoji26][emoji26][emoji26]
I'la wachina wanavyouana kwa mapanga humkatazi kwasababu si waislam? Una shida sehemu boss. Huna logic

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Hizo tamthilia zimewekwa kwa lengo maalumu,kueneza utamaduni wa waarabu na uislamu,
Uturuki sio Waarabu, labda ungeandika kueneza utamaduni wao ungeeleweka.

Uturuki wenyewe maisha yao (life style) hayapishani sana na Ulaya magharibi ndio maana wanatamani kuingia EU.

Tamthilia pia ni burudani tu.
 
Back
Top Bottom